Walikua ni wapiga dealKuna pahala wameguswa wakapunguza mahaba na kumsujudia.
Ni vigumu sana kumtetea Magufuli. Labda uwe huna akili timamu.Kuna pahala wameguswa wakapunguza mahaba na kumsujudia.
Tupo wengi tumebadilisha id baada ya mzee Meko kugeuka nakuanza kufanya vituko.
Hahaha kuwatahiri bila ganziTupo wengi tumebadilisha id baada ya mzee Meko kugeuka nakuanza kufanya vituko.
Hahahaha saaaana sanaPoleni sana ndugu zetu hayo ndiyo maisha, bora sisi watoto yatima kisiasa tumeridhika na hali yetu maana ID zetu ni zile zile na swaga zetu bado ni zile zile
Mpiga deal ni boss wetu aliyemfukuza C.A.G kisa hataki kukaguliwa. Hiki kitu kiliniuma sana.Hahaha kuwatahiri bila ganzi
Dah alitaka kuchungulia nyeti za Boss wako??Mpiga deal ni boss wetu aliyemfukuza C.A.G kisa hataki kukaguliwa. Hiki kitu kiliniuma sana.
Wewe huna sifa za kuwa mwanaccmNi vigumu sana kumtetea Magufuli. Labda uwe huna akili timamu.
Nilifanya hivyo kwa miaka mitatu ya mwanzo. Ila nikaona huyu mtu kila siku zinavyoenda anazidi kuboronga. Nikabadili id.
CCM tunajuta kusema ukweli.
Wamekimbia upepo wa jpmAmani iwe kwenu wana JF, naomba kuuliza tafadhali anaye fahamu juu ya wenzetu hawa.
Ritz na Lizaboni walikuwa ni wafia ccm kipindi cha utawala wa mzee wetu Kikwete na walikuwa wanakesha hapa jamvini kuipigania ccm.
Ritz alikuwa ndiyo kinara wa kuwakosoa wapinzani akiwa na sauti ya kutawala kabisa, akifuatiwa na Lizaboni.
Mcubic naye alikuwa ni mfia chama cha ACT na kumpamba sana Omwami Ruyagwa Zzk.
Sasa hawaonekani kabisa jamvini, tafadhali mwenye kujua walipo atutoe mashaka.
No, sisi tulikuwa tunamzuia Lowasa na genge lake kina Bashe wasichukue nchi. Wale watu walikuwa hatari mno.Chain ya JK ilikatwa, magu kaja na kundi lake la walaji.
Hebu nitajie sifa za mwanaCCM.Wewe huna sifa za kuwa mwanaccm