Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Amani iwe kwenu wana JF, naomba kuuliza tafadhali anaye fahamu juu ya wenzetu hawa.
Ritz na Lizaboni walikuwa ni wafia ccm kipindi cha utawala wa mzee wetu Kikwete na walikuwa wanakesha hapa jamvini kuipigania ccm.
Ritz alikuwa ndiyo kinara wa kuwakosoa wapinzani akiwa na sauti ya kutawala kabisa, akifuatiwa na Lizaboni.
Mcubic naye alikuwa ni mfia chama cha ACT na kumpamba sana Omwami Ruyagwa Zzk.
Sasa hawaonekani kabisa jamvini, tafadhali mwenye kujua walipo atutoe mashaka.