Wako wapi JF members hawa, Ritz, Lizaboni na Mcubic?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Amani iwe kwenu wana JF, naomba kuuliza tafadhali anaye fahamu juu ya wenzetu hawa.

Ritz na Lizaboni walikuwa ni wafia ccm kipindi cha utawala wa mzee wetu Kikwete na walikuwa wanakesha hapa jamvini kuipigania ccm.

Ritz alikuwa ndiyo kinara wa kuwakosoa wapinzani akiwa na sauti ya kutawala kabisa, akifuatiwa na Lizaboni.

Mcubic naye alikuwa ni mfia chama cha ACT na kumpamba sana Omwami Ruyagwa Zzk.

Sasa hawaonekani kabisa jamvini, tafadhali mwenye kujua walipo atutoe mashaka.
 
Chain ya JK ilikatwa, magu kaja na kundi lake la walaji.
 
Ni vigumu sana kumtetea Magufuli. Labda uwe huna akili timamu.

Nilifanya hivyo kwa miaka mitatu ya mwanzo. Ila nikaona huyu mtu kila siku zinavyoenda anazidi kuboronga. Nikabadili id.

CCM tunajuta kusema ukweli.
Wewe huna sifa za kuwa mwanaccm
 
Amani iwe kwenu wana JF, naomba kuuliza tafadhali anaye fahamu juu ya wenzetu hawa.

Ritz na Lizaboni walikuwa ni wafia ccm kipindi cha utawala wa mzee wetu Kikwete na walikuwa wanakesha hapa jamvini kuipigania ccm.

Ritz alikuwa ndiyo kinara wa kuwakosoa wapinzani akiwa na sauti ya kutawala kabisa, akifuatiwa na Lizaboni.

Mcubic naye alikuwa ni mfia chama cha ACT na kumpamba sana Omwami Ruyagwa Zzk.

Sasa hawaonekani kabisa jamvini, tafadhali mwenye kujua walipo atutoe mashaka.
Wamekimbia upepo wa jpm
 
Chain ya JK ilikatwa, magu kaja na kundi lake la walaji.
No, sisi tulikuwa tunamzuia Lowasa na genge lake kina Bashe wasichukue nchi. Wale watu walikuwa hatari mno.

Ila huyu naye amekuja na genge lake kina Bashite wananyang'anya hadi hela kwenye akaunti za watu.

Magu ameliteka hadi bunge, bajeti ya nchi anapanga yeye chumbani kwake. C.A.G alileta fyo fyoko akamtema ili aibe vizuri.

TULIRUKA MKOJO TUMEKANYAGA MAV.I A.K.A KIMBA!
 
Back
Top Bottom