Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Shose Sinare alikuwa anafanya kazi Stanbic bank Tz kama mkuu wa moja idara za benki hiyo.

Halima Bandawe huyu manzi alikuwa kisu sana miaka 2000 mwanzoni alikuwa anatokea Tanga. Kwa sasa labda atakuwa mmama wa miaka 38 ~ 40. Japo nilikuwa mtoto hata mimi nilikuwa nammezea mate kama FA.
 
Idea ilikuwa ya Fa, Jay Mo aliisikiliza wimbo wa "mabinti"wakati ameenda kushirikishwa wimbo wa "ingekuwa vipi" na Fa ambao ndio ,so nae akaona aje na idea'' kama unataka semi"
Ahaa kumbe....Ila kipindi kile alikuwa akihojiwa anadai idea ni yake
 
Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa
Mboni Mhita mtoto wa kitanga!
20210425_212706.jpg
 
Back
Top Bottom