Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Media za Tanzania si unaziona? Au wewe ulishajiuzulu rasmi kutoka kwenye media hizi?
Tushapiga Kura, tupo kuendelea na majukumu ya kitaifaHizo kura wanapiga siku nzima. Sema wako jikoni kupika matokeo
Hiyo single ilishabuma ,na mliianzisha kishamba sanaWatanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Kataa ushoga kwa vitendo
Hizo picha ni za wapi hizoHuo ndio uchaguzi huru na haki kwa TanzaniaView attachment 1614293View attachment 1614294View attachment 1614295View attachment 1614296View attachment 1614298
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mpgieni arudi mana mnajua fika bila yy maisha kwa nyie wana ccm hayaendi, ila sisi hata asiporudi life litaendelea, hatuishi kwa ajiri ya magufuri.Unadhani CCM wapo mtandaoni kwa sasa? Wapo vituoni kupiga kura. JPM. Arudi.
Kidole kucha ina fangasi. Nenda hospitali dada utaoza
Unamwonea wivu kuwa mwanamke?Huyu mwanamke wa mbowe lazima kesi zake ziskilizwe mfululizo baada ya uchaguzi
p
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
Wanabodi, Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...www.jamiiforums.com
Hahhaha.. Nyie ni mbumbumbu yani uko hapa mda wote hata kura huendi kupiga ila unataka Lisu ashinde?Wako vituoni kumpigia JPM zile za nyongeza tokea jana?
Wewe umepenyeza ngapi?
Huo ushahidi umewekewa hapo au u mmojawapo maana mwizi humpigia kelele kubwa mwizi aliyekamatwa ili kuuficha uhalifu wake..,Unaunga mkono sera ya ushoga kutoka kwa mgombea wa Mabeberu
Ulishamrehemu shetani what could you do P?You ought to sing his hymns whether you like or not.p
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
Wanabodi, Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...www.jamiiforums.com
Hahhaha.. Nyie ni mbumbumbu yani uko hapa mda wote hata kura huendi kupiga ila unataka Lisu ashinde?
Suburi tuwafundisheni.
Njaa ya mtu aliyekuwa ana shibe ni kali kuliko njaa ya mwenye njaa kila siku.Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
Na wewe unasapot ushoga ?
Nilijuwa tu nyie ni wale watu wenye maisha mabovu na elimu Duni picha huongea mengiTayari nishatoka kumuumiza Lissu.
#JPM mitano yake ipo tayari.View attachment 1614264
Kashaliwa kichwaWatanzania Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Kataa ushoga kwa vitendo
Lini ukampenda LissuHahhaha.. Nyie ni mbumbumbu yani uko hapa mda wote hata kura huendi kupiga ila unataka Lisu ashinde?
Suburi tuwafundisheni.