Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Media za Tanzania si unaziona? Au wewe ulishajiuzulu rasmi kutoka kwenye media hizi?
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
Wanabodi, Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...
www.jamiiforums.com
pNimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge