Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
KoteHawajaonekana kwenye media au ofisini ''jeshini''
Kote Ofisini, Mtaani na kila sehemu.Hawajaonekana wapi huko mkuu?
Kwamba na hao JW wa ngazi za juu wanahitaji kukombolewa na GenZ kama ilivyo kwa raia wa kawaida?Kwa muda sasa Makamanda muhimu ambao ni sehemu ya uongozi wa JWTZ hawajaonekana. Nao ni Meja Jenerali Ibrahim Mhona na Meja Jenerali Mkeremy.
Tunataka kujua wapo wapi?
View attachment 3512186View attachment 3512187
DCI jeshini ? Hatuna cheo cha kipolisi jeshini uwe unatumia akili mwaname jike weweMange Kimambi juzi ashatoa stori za huyo Mkeremi kuwa ndiye mkuu wa DCI, yaani mkuu wa mashushushu wa jeshi.
Huyo mwingine sielewi habari zake kumhusu.
Ndiyo hawapoUmeenda ngome ume wakosa?
Hawajaonekana popote tangu Mwezi Oktoba.Kwanza nitumie uzi huu kuwafahamisha wasio na taarifa kuwa JF sasa inatimba bila VPN
Pili Meja Jenerali Mkeremy alionekana mwanzoni mwa mwaka huu kule Goma kwenye yale makubaliano ya kisiasa na M23.
So what? Bla bla nyingiiii.Hawajaonekana popote tangu Mwezi Oktoba.