Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
Haha Kuna MTU anakubushwa wajibu wake TU 😂Angekuwa mwenyekiti wa Kijiji hapo ungehoji lakini Senior Officers tena wa Jeshi kama hao huwezi kuhoji maana kuna uwezekano mkubwa sana huenda wameenda kusoma nchi yoyote kitu ambacho kama Jeshi haliwezi kulitangazia taifa!!!
Kama labda wewe unazo fununu zozote kuhusu kutoonekana kwao hadharani labda wewe utujuze na sidhani kama habari zako zinaweza kuwa na uhakika maana hatakuwepo wa kuzidhibitisha habari zako hizo sana sana zitakuwa “Hearsay” tu.