Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Sasa hapo kukosea kufasiri neno kwa alphabet kuna sababu za kunitusi?DCI jeshini ? Hatuna cheo cha kipolisi jeshini uwe unatumia akili mwaname jike wewe
USSR
Embu nirekebishe wewe unayeelewa abbriviation za wadhifa wa mkuu wa kitengo cha wanausalama wa kijeshi kinaandikwaje kabla ya kunitusi?
Halafu kumbuka Jf tushaishi miaka mingi humu tushakuwa familia, kutukana watu, sijui kama falsafa hiyo inakujenga!