Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Sasa hapo kukosea kufasiri neno kwa alphabet kuna sababu za kunitusi?DCI jeshini ? Hatuna cheo cha kipolisi jeshini uwe unatumia akili mwaname jike wewe
USSR
Coplo na sajent una hakika hawapo jeshin na polis?DCI jeshini ? Hatuna cheo cha kipolisi jeshini uwe unatumia akili mwaname jike wewe
USSR
Mkuu achana na huyo mbumbumbu hicho cheo kipo kirefu chake kama sikosei ni Director of Central Intelligence (DCI) ambapo MI wako chini yake.Sasa hapo kukosea kufasiri neno kwa alphabet kuna sababu za kunitusi?
Embu nirekebishe wewe unayeelewa abbriviation za wadhifa wa mkuu wa kitengo cha wanausalama wa kijeshi kinaandikwaje kabla ya kunitusi?
Halafu kumbuka Jf tushaishi miaka mingi humu tushakuwa familia, kutukana watu, sijui kama falsafa hiyo inakujenga!
Kama nani wewe? Kama wamepangiwa kazi nyingine wewe kama nani kuhoji?Kwa muda sasa Makamanda muhimu ambao ni sehemu ya uongozi wa JWTZ hawajaonekana. Nao ni Meja Jenerali Ibrahim Mhona na Meja Jenerali Mkeremy.
Tunataka kujua wapo wapi?
View attachment 3512186View attachment 3512187
Umeenda nyumbani kwao ukawakosa???Hawajaonekana popote tangu Mwezi Oktoba.
Mkuu unasema "wewe kama nani kuhoji"Kama nani wewe? Kama wamepangiwa kazi nyingine wewe kama nani kuhoji?
Bosi wao nani?makomandoo
Ofisi zao utakuwa unazijua ni vyema ukaenda kuwatembelea Mkuu.Kwa muda sasa Makamanda muhimu ambao ni sehemu ya uongozi wa JWTZ hawajaonekana. Nao ni Meja Jenerali Ibrahim Mhona na Meja Jenerali Mkeremy.
Tunataka kujua wapo wapi?
View attachment 3512186View attachment 3512187
Who are youMkuu achana na huyo mbumbumbu hicho cheo kipo kirefu chake kama sikosei ni Director of Central Intelligence (DCI) ambapo MI wako chini yake.
Haya hutokea unapojifanya unajua kila kitu, na ndiyo sifa za wanaharakati wanajua kila kitu na akili zao huwa kama dodoki chochote wao wanabeba tu. Tangu lini Jeshini kukawa na DCI.DCI jeshini ? Hatuna cheo cha kipolisi jeshini uwe unatumia akili mwaname jike wewe
USSR
Haya hutokea unapojifanya unajua kila kitu, na ndiyo sifa za wanaharakati wanajua kila kitu na akili zao huwa kama dodoki chochote wao wanabeba tu. Tangu lini Jeshini kukawa na DCI.
Angekuwa mwenyekiti wa Kijiji hapo ungehoji lakini Senior Officers tena wa Jeshi kama hao huwezi kuhoji maana kuna uwezekano mkubwa sana huenda wameenda kusoma nchi yoyote kitu ambacho kama Jeshi haliwezi kulitangazia taifa!!!Mkuu unasema "wewe kama nani kuhoji"
Umesha jiuliza Kwa nini ni hao watu 2 TU ndio wanao uliziwa, Tena kwa wakati kama huu .
Hapo 👆 ndipo ungejua anaeuliza swali ni nani ,na pengine anataka nini
Point of correctionMkuu achana na huyo mbumbumbu hicho cheo kipo kirefu chake kama sikosei ni Director of Central Intelligence (DCI) ambapo MI wako chini yake.