Haha Kuna MTU anakubushwa wajibu wake TU 😂Angekuwa mwenyekiti wa Kijiji hapo ungehoji lakini Senior Officers tena wa Jeshi kama hao huwezi kuhoji maana kuna uwezekano mkubwa sana huenda wameenda kusoma nchi yoyote kitu ambacho kama Jeshi haliwezi kulitangazia taifa!!!
Kama labda wewe unazo fununu zozote kuhusu kutoonekana kwao hadharani labda wewe utujuze na sidhani kama habari zako zinaweza kuwa na uhakika maana hatakuwepo wa kuzidhibitisha habari zako hizo sana sana zitakuwa “Hearsay” tu.
Nani huyo anayekumbushwa?Haha Kuna MTU anakubushwa wajibu wake TU 😂
DCI jeshini..?Mkeremi kuwa ndiye mkuu wa DCI
MalaysiaMkeremy amekuwa Balozi
Si cheo ni wadhifa. Ananajukikana kama DCI au CMI, vyovyote utake kumuita ni sahihi.DCI jeshini..?