Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

Jamaa kweli alipotea kabisa bwana....mambo ya majaji na mahakimu
 


Unafikiri Magufuli ana mchezo na wauza unga, alishawashitukia baada ya kuona vijana wake (watanzania/taifa la kesho) wanateketea kwenye ubwiaji unga haswa vijana wa bongo fleva. Mapedeshee wengi hapa bongo ni magumashi tu haswa hawa vijana. Kuna mdada mmoja mmiliki wa blogu fulani hivi na ana duka kule Sinza, mumewe ni zungu bado tu kutumbuliwa.
 
Ndama Mutoto ya ng'ombe
Chicago Matelefoni
Papaa Musofe
Chief Kiumbe
Na wengine wako Wapi?
Tumewamiss sana, hata muziki wa bendi umedorora kwa ukimya wenu


Ridhiwani Kikwete bado yupo ila haendi tena China baada ya ndege yake iliyokuwa na makontena ya powder kuwa seized na yeye kupewa STOP ya kukanyaga China mpaka anakufa. Tunasikia yeye zake siku hizi ni Mzoga na Chalinze tu kupelekea wazee baiskeli mbovu na kugawa magodoro ya kunguni kwa wasiojiweza.
 
Abdul Tall, papa musofe, kizaizai supertall muziki wa dansi siku hizi sisikii wakiwataja hawa matapeli.
 
Msofe na yule wa pale mferejini maili sita sijui anaitwa nani vile
 
Nawakumbuka mapedeshee waliotamba enzi hizo vyuma havijakaza
 
Kawa kibwagara mtoto wa nguruwe..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…