pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Fikiri Madinda ni dereva wa Waziri flani siku hizi, yupo Dom! hahahaaaaaaaaaa! mama n'tilie anamhusu siku hizi.Papa Msofee,Fikiri Madinda,Katunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikiri Madinda ni dereva wa Waziri flani siku hizi, yupo Dom! hahahaaaaaaaaaa! mama n'tilie anamhusu siku hizi.Papa Msofee,Fikiri Madinda,Katunzi
Aah yule! Alikuwa pdg wa makanisa na misikiti zaidi.Kuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa mpaka anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!
Mbona hujanitaja na mimiPedeshee Muzamili
Daah kweli kuna siku hata elf kumi sn..alafu jamaa kaenda kuwatunza wazee wa kupekecha pekecha akudo impact..siku hizi hawapo ina maana wamehamia kenya ama south sudan?Habari za week end wadau,
Kwa wale mashabiki wa mziki wa dance nchini,hasa bend za Fm Acadamia,Twanga pepeta,Malaika Bend,Acudo impact,Mashujaa band,Msondo Ngoma,Sikinde n.k mtakua mashahidi katika hili,
Miaka michache iliyopita nyuma kulikua na wimbi kubwa la vibopa,matajiri au kwa jina lingine mapedeshee wa jiji hili la Dsm waliokua wakiimbwa sana na kutajwa tajwa kwenye nyimbo za bendi hizi kila mara au kwenye matamasha ya bendi hizi,hii ilipelekea wao kutawanya au kugawa pesa nyingi kwa wanamuziki husika (hasa wenye asili ya Congo) na kwa mashabiki pia hasa dada zetu wa bongo movie na wasanii.
Wakati mwingine walikua hata wakigawa dola ya mmarekani na euros.
Jambo la kushangaza siku hizi siwasikii wala kuwaona wakifanya kufuru hizo,
Napatwa na mashaka pengine nini kimewakuta?au wameamua kwenda kutapanya nchi za jirani kama Malawi na Msubiji?
Wadau unaweza mtaja pedeshee uliyekua unamwamini sana kwa kutapanya au moja ya tukio uliloshuhudia akitapanta.
Binafsi nakumbuka kufuru ya Pedeshee Ndama mutoto ya ngombe na Pedeshee Bitus dhahabu...wadau wakubwa wa Fm Academia wazee wa Ngwasuma popote pale ndani ya jiji hili hasa Mango Gardern na maeneo mengine.
ndama jera , musofe jela wengine wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa magufuri hataki wezi hapa kazi tuMusofe segerea siku mingi
Pedeshee Mutambuzi mutu ya muvunyo ya bei mubayaMbona hujanitaja na mimi
Papaa Mutambuzi
Ha ha ha ha haaaaaa Mkuu umenikumbusha mbali sana enzi za Leo Tupo Hapa PubPedeshee Mutambuzi mutu ya muvunyo ya bei mubaya
Ha ha ha ha haaaaaa Mkuu umenikumbusha mbali sana enzi za Leo Tupo Hapa Pub
Mkuu nimekamatwa na majukumu fulani kiasi kwamba sina muda tena kama zamani.Mbona uliacha kuleta habari za kesi jamani, au zinanipita?
Kwishini kabisa huwezi amini yaani Haya maisha yanasikitisha sana.Heri mutoto wa Mbezi .
Mkuu nimekamatwa na majukumu fulani kiasi kwamba sina muda tena kama zamani.
Najiandaa kustaafu kazi mwakani labda nitarejea kwa kasi