Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Akina Bia yetu
Bila kumsahau[mention]Kabombe [/mention]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Bia yetu
Wakongwe wengi tu wamebadili Id kuendana na hao vijana .Atakuwepo tu, nadhani hapa jf wakongwe wanajihadhari sana na vijana wa leo
Safi sana mkuu nimewakumbuka sama
Nimeona hlf sijajua umeanzia wapiJana kapigwa spana 😂😂😂😂
Faini inakuhusu we subiriDah, hii kesi kubwa ujue, nisamehe saaaana sana Shem wangu WA ukweli
Faizafoxy mama majuba tunae humu huyu ,huyo yupo ila "AshaD" huyu hata Mimi Nime mumis sanaHabari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Preta hi hi hiiiii
Nipo Ghaza.Unatafutwa wewe 😂😂😜😜
Da huyo lar1 kitambo sana. Sijui aliendaga wapi.Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Safi sana, "UNAWAHUDUMIA" wapambanaji wa HAMAS baada ya hekaheka za jeshi teule.Nipo Ghaza.
@Lizaboni aliondoka na magu,alikuwaga mnoko kinomaLizaboni na crew yake wamepotelea wapi ?
Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]Mbona Watu8 yupo
Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]Watu 8 yupo Mkuu