Wako wapi member hawa?

Wako wapi member hawa?

Watu8 ID ipo active mkuu...

Kijiwe sasa kimebadilika tumekuwa wasomaji tu na wachangiaji wa hapa na pale...

Namba 4 ni mkuu Mtambuzi kaadimika sana...

Maisha yanaenda kasi, majukumu mengi yanameza muda wa watu...

Uzuri pia nje ya JF tupo ambao tunaendeleza ujamaa na kuwasiliana kama kawaida...
Safi sana mkuu nimewakumbuka sama
Kweli namba 4 ni mtambuzi 👍
 
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy

Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Faizafoxy mama majuba tunae humu huyu ,huyo yupo ila "AshaD" huyu hata Mimi Nime mumis sana
 
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy

Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Da huyo lar1 kitambo sana. Sijui aliendaga wapi.

Faizafoxy siyo wa kutafuta tunae humu kila siku
 
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy

Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Dah.. Hizo ni dharau mkuu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom