Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]We Elli unacheka nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]We Elli unacheka nini?
Kumbe😀Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kabisa Mkuu, JF ya siku hizi sio kama ile ya zama zile! Yaani ilikua kila dakika mtu uko JF tu!Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
@bia yetuHabari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Nisamehe hata Saba mara sabiniFaini inakuhusu we subiri
Alikuwa ana nikosha na visa vyakeGaladudu kaishia wapi
Hakuna mahali nimeenda…….am here to stay…..
Ni kweli…….zingatia neno vivulana…….Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Nipo jamani binti kiziwi , Watu8 .Watu8? Mi namuulizia Karucee
Huyu si kada wa chama tawala alikula uteuzi kwa maelekezo ya kikwete Enzi za jiweLizaboni na crew yake wamepotelea wapi ?
Arusha wing ipo au imekufa? Where is Paka Jimmy?Hakuna mahali nimeenda…….am here to stay…..