Wako wapi member hawa?

Wako wapi member hawa?

Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy

Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
@bia yetu
 
Aikoooh tupo kuna ambao tumeamua twende na speed ya generation mpya kwa I'd zingine na kuna wengine wameomba sub hapo 🤣 🤣
 
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy

Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Ni kweli…….zingatia neno vivulana…….
 
Back
Top Bottom