Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza.

Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo, hatuwezi pata hata majina na picha zao?
 
Kwani tokea afariki zishapita karne ngapi? Tuanzie hapo kwanza ndio tujue ndugu zake wapo wapi.
 
Back
Top Bottom