Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

Familia/Ukoo wa Mtume S.A.W yaani Banu Hashim deliberately wamehamishwa Macca na kupelekwa Jordan
Ndio maana Jordan inaitwa The Hashimite Kingdom of Jordan

Waliwaondosha makusudi Ili kuhakikisha Miji 2 Mitakatifu haishikwi na watu sahihi
20240618_184425.jpg

Uzi ufungwe.

mdukuzi
 
Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza.

Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo,hatuwezi pata hata majina na picha zao?
Wapo wengi sana kiongozi kila unaemuona ana kitambaa Cheusi kichwani basi jua ni ndugu yake awe mwarabu, mzungu ,au mwafrika
 
Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza.

Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo,hatuwezi pata hata majina na picha zao?
Mazinge, Mwaipopo, Ustaadh majini nk.
 
Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza.

Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo,hatuwezi pata hata majina na picha zao?
Mtume Muhammad s.a.w ni Mtume wa mwisho hivyo damu ya unabii ilikomea Kwake ndio maana watoto wake wa kiume walikufa wakiwa wadogo so hana kizazi Kwa watoto wake wa kiume

Kizazi kilichopo ni Cha watoto wake wa kike ambacho mara nyingi kizazi Cha mtoto wa kike inakuwa ngumu kupata mtiririko wake

Lakini Kwa kuwa ni kizazi maaru ndio hivyo hivyo Kwa shida kinawza kujulikana Kwa hapa Tanzania inasemekana shekhe Kishki kizazi chake kina nasabu ya watoto wa Mtume

Yesu pia ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Isaka ndio maana na yeye hakuzaa

Mungu fundi sana Isaka ni mtoto wa ahadi na alikuja kufunga utume katika kizazi Isaka ni Yesu ambaye pia ni mtoto wa ahadi

Ishmael ni mtoto wa viuno na aliyekuja kufunga utume katika kizazi chake ni mtoto wa viuno
 
Kuna uzi humu namna roman empire kupitia Roman Catbolic ilivyounda uisram kupitia tajiri mamluki Hadja, ili kupambana na wakristo wa Jerusalem!
Hivyo msishangae Quran kumwandika sana Yesu mana kutunga uongo si kazi ndogo.
 
Back
Top Bottom