Vitabu vya kidini ni vitabu vilivyoandikwa katika coded language..
Ulishawahi kujiuliza wakati yesu anabatizwa kwanini njiwa alimshukia?? Kwanini popo asingemshukia, kulikuwa kuna ulazima gani njiwa amshukie,
nivigumu kwa mtu kuelewa ila wanasema tembea uwone