Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

Amekongoroka balaa...mishavu imeshuka...kila mwanamke anayemwona lazima amkonyeze( had mabeki 3 wa forest wanaipata hii )..sijui ana pepo gani huyu mzee! Naandika haya alikua jirani yangu so namaanisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh hatareeeh sanaaah
 
Yes...anakonyeza Kama anafumba macho yote utacheka...anakonyeza kila mwanamke anayemwona nadhani...maana alimkonyeza had bek 3 wangu. Nikabaki nasikitika sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee mam nimecheka afu kwa sauti kubwa, kukonyezwa kwa beki 4 we ukasikitika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee mam nimecheka afu kwa sauti kubwa, kukonyezwa kwa beki 4 we ukasikitika.
Sema we inaonekana mtoto...humfahamu huyu baba...
1 anatisha balaa usoni .
2.ana kitambii ..Sasa mm kabeki 3 kangu kalikua slim balaa. Nkawaza Sana anataka Nini pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…