Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

Yuko wapi mkali wa salamu za redioni enzi hizo bwana Chesco mzee wa matunda

Yuko wapi mama teri??
Uzi wa kufahamu walipo kwa sasa na wanachofanya wenye majina yaliyowahi kuwika sana Tanzania

Yuko wapi Tundu Antipas Lissu?
Yuko wapi Dr. Edward Hosea? wakati huu wa kuelekea uchaguzi angekuwa ameshajitokeza sana
Yuko wapi Yusuph Manji aliyewahi kuwa bilionea wakati fulani?
Yuko wapi Benno Ndulu mmojawapo wa magavana bora wa benki kuu Africa?
Wako wapi Suleiman Kova na Alfred Tibaigana?
 
Wako wapi
Henry Chogo
Sungura Mashini
Charles Samson Mkuki
Afande Shelukindo wa Ruvu JKT 1986
Sgt Sahani
Stella Mathias
 
Yuko wapi Frida cheupe
Nakutafuta kipenzi changu mwaka wa 20 huu

Niliambiwa upo Dodoma au morogoro
 
Omary Mahita IGP mstaafu aliyeburuzwa mahakamani kwa kumjaza mimba house girl yuko wapi ?
Yuko hapa ngaramtoni juu huku forest mwananzengo mwenzetu tunachoma nae nyama na wameru huku juu!
 
Yuko wapi benson bana natafiti za nani atashinda urais
 
Wako wapi
1.Kilonzo Mpologomi.naibu waziri wa fedha wa zamani
2.Semindu Pawa.Former Singida Mp
3.William Shelukindo .Former Bumbuli mp
4. Albert Mnali.former Bukoba rural DC
5.Muhidini Ndolanga..former FAT president
6.Jimy kabwe
7.Fenela Mkangala
8.Makwaiya wa Kuhenga
 
Yuko wapi Fahami Matsawili kijana mwanaharakati ambaye alikuwa hakaukuki Redio one akiwa na majibu yote ya uchumi yanayohusu ajira kwa vijana na maendeleo ya taifa.
 
Yuko wapi Mama Teli aliyekuwa akisikika w Radio one enzi hizo?
 
Amekongoroka balaa...mishavu imeshuka...kila mwanamke anayemwona lazima amkonyeze( had mabeki 3 wa forest wanaipata hii )..sijui ana pepo gani huyu mzee! Naandika haya alikua jirani yangu so namaanisha!
Vipi nawe ulishakutana nae ktk harakati zake za kukonyeza, i mean kukukonyeza[emoji3]
 
Back
Top Bottom