General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,210
Huyu karudi Sikinde.........tamka; Benno Villa AntonyYuko wapi Mabeno Villa.....
ni mwanamziki wa zamaaani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu karudi Sikinde.........tamka; Benno Villa AntonyYuko wapi Mabeno Villa.....
ni mwanamziki wa zamaaani sana.
Alienda kusoma South Africa akarudi bongo akawa lecturer km sijasahau Udsm ila ashafariki miaka michache ilopita.Yuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Utapotezwa.iko wapi trilioni 1.5
Yuko wapi Victor Makinda, mwandishi mchambuzi wa siasa akiandika makala gazetini Rai? Alhamis kwangu ilikuwa siku njema sana nikitaraji kupata uchambuzi wa kina na mwanana wa siasa gazetini Rai.
RIPYuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Yupo wapi huyu mtu na ni msanii gani..??Huyu msanii yupo wapi?View attachment 1467721
Mathayo yuko Kilimanjaro anapiga kampeni chini kwa chini na kuandaa mipango ya uchaguziYuko wapi Mathayo david (Mb)
Yuko wapi mheshimiwa sana Mustafa Mkulo
Yuko wapi mamaa wa KUNYWA MAJI MWANANGU ...Zakia Meghji😅😅!
Huyu sio sum aye?Huyu msanii yupo wapi?View attachment 1467721
Nipo mkuu nalea watoto.Yuko wapi mtangazaji Sauda mwilima
Jamaa ni mjeshi right now