Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

daza steven

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
361
Reaction score
361
Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali zaidi na kusema sisi CHADEMA hatuta fanya lolote bila kuwashirikisha viongozi wa kiroho.

Kwanini CHADEMA nayo isiweke kongamano kubwaa la viongozi wa dini nchini hili kuthibitisha ukweli waliosema uko nyuma kuhuusu umuhimu wa viongozi wa dini katika jamii ya watanzania. Nakama nyakati zimebadilika kwanini wasitupe taarifa kuwa kwa sasa viongozi wa dini hawana maana tena na chama kinaweza kuchua dola hata viongozi wote wa dini wakikipinga, yaani kubadili gia angani.

CHADEMA ilianza na Mungu lakini nachokiona kama wanamaliza na mwingine kwani tayari huyo mwingine anawaambia kuwa damu lazima imwagike na barabara zitajaa watu na si magari wala pikipiki bali maandamano, viongozi wa dini wamewakimbia akiwemo Zakaria Kakobe na Josephat Gwajima nao wamewatema .

Askofu Shoo kajitaidi wee kuwanao lakini na yeye kayereza baada ya kuona shetani ndiyo kawa kiongozi wa mambo yote ndani ya chama.

Na kwanini awawapi makavu hawa viongozi wa dini kama wanakosea kwa kuwatema Chadema wanawaangalia tu hapa kunakitu cha kujifunza watanzania kuhusu hawa watu haiwezekani wabadirike ghafla hivi kwa sababu wale viongozi wa dini hawajafa wapo,
CHADEMA tuambieni moja, mtaanda kongamano la viongozi wa dini au mnaenda Ikulu kavu kavu bila Mungu.
Sitaki mitusi nataka majibu kwani TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA..
 
Kila siku zinavyo sogea ndiyo mnazidi kuweweseka juu ya rais mtarajiwa mh Lissu

photo%20266%2012-18-0.jpg
 
Kuna mtu anajifanya mcha MUNGU kumbe ni hatari sana, lakini anapenda aonekane ni mcha Mungu
 
Siku ya 6 Mungu aliumba binadamu, Siku ya 7 shetani akaamka usiku kimya kimya akaiba udongo akakuumba wewe mtoa thread pamoja na wanaccm wenzio.
 
Mgombea wao alisema Mungu wanamuwekapembeni kwanza kwakuwa ana kazi nyingi.
Unawa aibisha wahaya wenzako, maana wao ni watu wenye kujitambua sana lkn wewe naona kama ni MUSHUUTI
 
Back
Top Bottom