brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Yule bi Mkora?! Expect nothing from her!Ripoti ya kibao kimya
yule mama kafiri yule
Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Nadhani Bonge mwenyewe anajua fika kuhusu sakata hilo lote na ninadhani amekwisha malizana nao la sivyo kama hatamalizana nao mapema watu kama wale hata ipite miaka mitano lazima watamrudia.Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Soma hii Abdul Nondo alipokamatwa leoNi muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Na leo Abdul Nondo katekwa magufuli stand kweupeeee mbele za watu.Wazee wa Minyama wamekaa kimya ,wakilivalia njuga polisi watawataja....watapitisha kombe mwanaharamu apite kama vile Joshua Mulundi aliyemteka Dr Ulimboka na jinsi alivyopatikana baada ya kwenda kutubu kwa gwajima(sarakasi za kova).
Na leo Abdul Nondo katekwa magufuli stand kweupeeee mbele za watu.
Halafu mama anasema hakuwahi kuua watu.
Daaaa
kaificha kabatini,Ripoti ya kibao kimya
yule mama kafiri yule
Kwa kuwa hawwjakamatwa, wameweza kumteka Abdul NondoNi muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Pia, soma: Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia