Wako wapi walotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge)?

brownjosephati

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
549
Reaction score
674
Polisi woootee walienda kwenye uchaguzi wa sirkale za mitaa na vituo/uchunguzi wakafunga.Ngoja washughulikie rufaa(utadhani wao ni mahakama) kwanza.Ya Bonge yasubiri kama ya Lissu.Kwani alikufa?
 
Hahaha acha haraka, jeshi bado linafanya uchunguzi. Mdanganyika wa wapi wewe?
 
Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini

Wazee wa Minyama wamekaa kimya ,wakilivalia njuga polisi watawataja....watapitisha kombe mwanaharamu apite kama vile Joshua Mulundi aliyemteka Dr Ulimboka na jinsi alivyopatikana baada ya kwenda kutubu kwa gwajima(sarakasi za kova).
 
Nadhani Bonge mwenyewe anajua fika kuhusu sakata hilo lote na ninadhani amekwisha malizana nao la sivyo kama hatamalizana nao mapema watu kama wale hata ipite miaka mitano lazima watamrudia.
 
Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Soma hii Abdul Nondo alipokamatwa leo

Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
 
Wazee wa Minyama wamekaa kimya ,wakilivalia njuga polisi watawataja....watapitisha kombe mwanaharamu apite kama vile Joshua Mulundi aliyemteka Dr Ulimboka na jinsi alivyopatikana baada ya kwenda kutubu kwa gwajima(sarakasi za kova).
Na leo Abdul Nondo katekwa magufuli stand kweupeeee mbele za watu.
Halafu mama anasema hakuwahi kuua watu.

Daaaa
 
Back
Top Bottom