Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Jasusi la uchumiKabaki Mzee wa Kijasusi! 😁
Siasa ikiifanya kwa mhemko lazima itakuaibisha tuu! Waliheshimika sana hao uliowataja. 😁
Jasusi la uchumi
Ule mwanya navile vindevu vyake juu ya pua kama Charlie Chaplin, jasusi la uchumi la kubanikaNdio ndio. 😁
With all due respect, jaribu kurekebisha uandishi wako. Hata ukiwa na mada nzuri, inakosa u-seriousness kwa sababu inaonekana ni kama imeanzishwa na mtu asiye na upeo wa mambo. Kurudia-rudia kuandika neno ''hata'' kama ''ata'', au kichwa cha habari kuwa na neno ''machachali'' badala ya ''machachari'' mh... Back to topic. Hawa wote, teuzi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi n.k. zikianza, kuna watakaobahatika na wengine itakula kwao moja kwa moja. Na Msigwa (mchungaji) yupo ndani ya kundi. BTW mkutano wa jana wa CHADEMA wa Arusha umeonyesha wananchi wanaamini chama gani. Hii itafanya CCM izidi kusita kukubali mabadiliko yoyote ya maana bila kutumia nguvu.Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na tamaa,kiburi, na jeuri wakakihama chama, na kwenda CHAUMA.
Baada ya uchaguzi woote waliangukia pua, hakuna ata mmoja aliyeshinda ubunge. Wamepoteza nuru na ushawishi Kwa umma now hakuna anayetoa ata kichwa kwenye mitandao ya kijamii, hakuna ata mmoja ambae anafanya ata mkutano wa hadhara ,wote wamepotea kusikojulikana.
CHAUMA, wote wamekimbia mitandao amebaki Yeriko peke yake.
Wako wapi wamama Hawa wa CHAUMA??
Ule mwanya navile vindevu vyake juu ya pua kama Charlie Chaplin, jasusi la uchumi la kubanika
Hilter wa kuagiza kikuuIle staili ta ndevu ya Chaplin na Hitler... 😁
Oky mkuu tusamehane 24 hrs naongea English,so Kuna muda nasahau uhandishi wa kiswahili.With all due respect, jaribu kurekebisha uandishi wako. Hata ukiwa na mada nzuri, inakosa u-seriousness kwa sababu inaonekana ni kama imeanzishwa na mtu asiye na upeo wa mambo. Kurudia-rudia kuandika neno ''hata'' kama ''ata'', au kichwa cha habari kuwa na neno ''machachali'' badala ya ''machachari'' mh... Back to topic. Hawa wote, teuzi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi n.k. zikianza, kuna watakaobahatika na wengine itakula kwao moja kwa moja. Na Msigwa (mchungaji) yupo ndani ya kundi. BTW mkutano wa jana wa CHADEMA wa Arusha umeonyesha wananchi wanaamini chama gani. Hii itafanya CCM izidi kusita kukubali mabadiliko yoyote ya maana bila kutumia nguvu.
U DC haikuwa target yaoWith all due respect, jaribu kurekebisha uandishi wako. Hata ukiwa na mada nzuri, inakosa u-seriousness kwa sababu inaonekana ni kama imeanzishwa na mtu asiye na upeo wa mambo. Kurudia-rudia kuandika neno ''hata'' kama ''ata'', au kichwa cha habari kuwa na neno ''machachali'' badala ya ''machachari'' mh... Back to topic. Hawa wote, teuzi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi n.k. zikianza, kuna watakaobahatika na wengine itakula kwao moja kwa moja. Na Msigwa (mchungaji) yupo ndani ya kundi. BTW mkutano wa jana wa CHADEMA wa Arusha umeonyesha wananchi wanaamini chama gani. Hii itafanya CCM izidi kusita kukubali mabadiliko yoyote ya maana bila kutumia nguvu.
😁😁 Jasusi anaumia hatariUle mwanya navile vindevu vyake juu ya pua kama Charlie Chaplin, jasusi la uchumi la kubanika
Uyo kibaka kazi anayooooKabaki Mzee wa Kijasusi! 😁
Siasa ikiifanya kwa mhemko lazima itakuaibisha tuu! Waliheshimika sana hao uliowataja. 😁
Nakubaliana na wewe. Na hata niliposema watapata u-DC, siyo uhakika. KIlichotokea tarehe 29/10, kimefanya waliobaki CHADEMA wawe kama lulu kwa CCM kwa sababu siyo rahisi Samia kujisafisha kimataifa bila kuishirikisha CHADEMA. Kwa kifupi walifanya ''timing'' mbaya sana, wangebaki CHADEMA sasa hivi wangekuwa na thamani kuliko hata kupewa u-DC.Oky mkuu tusamehane 24 hrs naongea English,so Kuna muda nasahau uhandishi wa kiswahili.
Nani awe DC
John Mrema
Yerrico
Susana Kiwanga
Youssouf
Moza Ally
Catherine Ruge
Madogo
In short hao vibaka Wana Hali ngumu saaaana😁
Ila kisingewaka kwenye MO29, Hawa vibaka lazima wangekumbukwa ,,kitendo Cha MO29 kuwaka, MaCCM walipanic,wakachanganyikiwa na kuwasahau Hawa vibaka😁Nakubaliana na wewe. Na hata niliposema watapata u-DC, siyo uhakika. KIlichotokea tarehe 29/10, kimefanya waliobaki CHADEMA wawe kama lulu kwa CCM kwa sababu siyo rahisi Samia kujisafisha kimataifa bila kuishirikisha CHADEMA. Kwa kifupi walifanya ''timing'' mbaya sana, wangebaki CHADEMA sasa hivi wangekuwa na thamani kuliko hata kupewa u-DC.
Wameenda kutuharibia ubwabwa wetu kenge hao🙆♂️Hao watu wameenda kuua chauma ya mzee rungwe tu , mzee na chama chake kilianza kupata jina sasa hivi chali kifo cha mende.
Umaarufu wa hicho chama umekwisha kabisa na mzee rungwe sijui kapotea wapiWameenda kutuharibia ubwabwa wetu kenge hao🙆♂️
Kaamua ajikalie kimya akiangalia chama chake kinajifia🙆♂️🙆♂️Umaarufu wa hicho chama umekwisha kabisa na mzee rungwe sijui kapotea wapi