Wako wapi wanawake machachari wa CHAUMMA, Catherine Ruge, Aisha Madoga, Susana Kiwanga?

Hao kusikika tena ni 2030 panapo majaaliwa ya Mnyaaz Mungu.
 
Mbona mnauliza Hashim Rungwe alipo wakati kuna interviews online akielezea ilivyokua mpaka akaachia chama.

Anasema aligewa usafiri mpya, mlinzi, sina uhakika ila nadhani alisema na pesa alipewa. Kwahiyo akakaa kushoto, mwenyewe akasema mambo yamekua mazuri
 
Wamatanguliza "debe tupu" Yericko Mwandungulumbashi apambane na CHADEMA.
 
Wanauza K manzese
 
CCM wameshindwa kumuonga Lissu na Heche
 
Wanaandaa wimbo wa nitoke vipi chauma single ipo tauari,wanaelekea kwenye albamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…