Wako wapi wanawake machachari wa CHAUMMA, Catherine Ruge, Aisha Madoga, Susana Kiwanga?

Gentleman,
wako na familia zao wanaendelea na maisha yao ya kawaida na yale ya siasa bila mbamaba yoyote,

hata hivyo,
ni muhimu sana kutokuumia moyo pale mwananchi mwingine anapotumia uhuru na haki yake ya kikatiba kisiasa, kijamii au kiuchumi, kuishi bila kukujulisha wewe anaishije, right?

nadhani itapendeza zaidi kuacha umbea dhidi ya maisha ya asiekuhusu
 
Na waspofanya mabadiliko 2030 wajiandae kuondolewa Kwa nguvu na umma. Hii comment isave ili muda ukifika uirejee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…