Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

abby bado yupo choice fm

sebo yupo e.fm

tayana mara ya mwisho alikuwa times fm ila cjamckia kitambo

mafuvu n dj wa shuguhuli maalumu
 
JML alifariki, Stive kafire ata mm namic kwel cjui yupo wap uyu mtu, Jeff Jerry bado yupo kiss FM , ezden haeleweki ana puyanga tu
 
kidbway yupo redio mpya jijini mwanza inaitwa lake fm ndio mkurugenzi wa vipindi
 
im
Kwel Bro, nakumbka Sebo alikua anaipa FNL radha flan hv ya kitofauti kipndi kile, now days imekua ya kawaidaaa sana
ekuwa mbaya mnooo,yule sam ananiboaaaaaaaaaaaaa jamani!nkiangaliaga kile kipindi naonaga aibu mimi wakati sam anaongea
 
im

ekuwa mbaya mnooo,yule sam ananiboaaaaaaaaaaaaa jamani!nkiangaliaga kile kipindi naonaga aibu mimi wakati sam anaongea
Jamaaa kuna raia nimewakuta kwenye daladala wanasema eti ni punga
 
...ABBY yuko Choice...
...Criss yuko Geita
...Tandy anafanya shughuli zake binafsi
 
Ni jamii inawamiss au wewe ndo unawamiss..?
 
Daah..Tayana...Nimemkumbuks..kuna sauti zingine za watangazaji ukizisikia hutaki mziki wa tangazo liwekwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…