Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

Kasome misaafu yao uchambue, mazuri yote yanatokana na Mungu lkn mabaya ni mawazo ya waandishi
Mi nataka kujua aina ya ujumbe waliyokujanao,kipimo gani utatumia kujua lipi zuri na lipi baya? na baya kwa nani kwa mungu au binaadamu?
 
Mi nataka kujua aina ya ujumbe waliyokujanao,kipimo gani utatumia kujua lipi zuri na lipi baya? na baya kwa nani kwa mungu au binaadamu?
mkuu kwani wwe hapo ulipo huna akili za kujua jema na baya?
 
Bnafsi dini imenisaidia sana malezi yao walivyonielekeza na kunielea kiutu na kimaadili ni mtu muhimu sana ktk position yangu kama mtumishi wa umma na mwanadamu kweli ninayejiheshimu n kuwaheshimu wenzangu
Kwasababu unaiangalia leo yako. Hufikirii kuiandaa kesho yako
 
Hebu nitajia mfano wa jambo lilipo kwenye hiyo misahafu ambalo umesema ni mawazo ya waandishi.
maandiko yote yalikopo mwenye misaafu au vitabu vya dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu,
hakuna msaafu wowote wa kidini ulioandikwa na Mungu, kuamini kuwa Mungu aliandika misaafu ya kidini hukko ni kuamini ujinga
 
Back
Top Bottom