Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

dini imesababisha umasikini ndio kwa kutuaminisha ujinga, dini imetuaminisha kwamba
mali za dunia tusihangaike nazo bali tuhangaike na yaliyo juu,
tuhesababu utajiri na vyote vya dunia km mavi je mafundisho haya si chanzo cha umasikini? kwamba unafunga safari kwa mchungaji akakuombee ili upate pesa, si ujinga na umasikini wa kufikiri huu? eti uombe Mungu na usubiri majibu,
mafundisho ya aina hii ymechangia kiasi kikubwa wtu kutojituma wakitarajia eti atapokufa ataenda pepoponi kwenye raha ya milele eti huko atapata maisha mazuri
upuuzi
Huo ukristo, je uislam unasemaje,maana tunaona hata mtume alifanya kazi ili kujiongezea kipato.
 
unakijua unachosema au ilimradi,kwani ramli ni nini?na dini ni nini?
wote hawa wanafanya biashara ya kuuza pepo, wote hawa wanapandisha mapepo,
pepo wa wanadini anapowapagaa wana dini wanadai ni roho mtakatifu na nipepo mzuri
lkn pepo anopandishwa nje ya hizi dini ambao ni wapiga ramli wanadai kuwa ni pepo mchafu anatokana na mashetani, lkn kusudio la wapiga ramli na wanadini ni moja, wote hawa wanaimarisha ujinga miongoni mwa watu, dini hawanatofauti na mafarisayo na wapiga ramli hawana tofauti na masukayo

mafarisayo walikuwa watu wanafiki wenye kujehesabia haki, wakijiona kuwa wao ni watakatifu kuliko wengine, walikuwa na dharau, walipinga kila kitu ambacho hakitokani na wao hata km kina tija, waliwadharau sana masadukayo, masadukayo wao hawakuwa na misifa km mafirisayo, km ilivyo kwa wapiga ramli leo, lkn hawa wote walikuwa ni marafiki, mafarisayo waliwategemea sana masudukayo kupitisha mambo yao, hata sasa ndivyo ilivyo kwa wapiga ramli na dini
 
kwani ukisoma vitabu vya dini nini dhumuni la dini?
 
dini ni itikadi, ilianzishwa na binadamu kwa lengo la kumshawishi Mungu awaondolee adhabu ya kifo, waliposhindwa ndipo dini zikaibua hoja kudai kuwa Mungu kasema, binadamu atapokufa ataenda peponi na huko atapata maisha mazuri ya mielele yenye raha ambayo Mungu atakuwa amemuandalia mtenda haki, dini ilianzishwa kutokana na hofu ya kufo baada ya kupata kujua kuwa kuna nguvu iliyo nje ya uwezo wao,
 
kitabu gani hicho,
 
dini imesababisha umasikini ndio kwa kutuaminisha ujinga, dini imetuaminisha kwamba
mali za dunia tusihangaike nazo bali tuhangaike na yaliyo juu,
tuhesababu utajiri na vyote vya dunia km mavi je mafundisho haya si chanzo cha umasikini? kwamba unafunga safari kwa mchungaji akakuombee ili upate pesa, si ujinga na umasikini wa kufikiri huu? eti uombe Mungu na usubiri majibu,
mafundisho ya aina hii ymechangia kiasi kikubwa wtu kutojituma wakitarajia eti atapokufa ataenda pepoponi kwenye raha ya milele eti huko atapata maisha mazuri
upuuzi

Mkuu naona toka mwanzo unaongea mambo kijumla jumla tena kirahisi tu.

Unaweza kutupa ushahidi wa hayo unayoyasema kuwa watu hawafanyi kazi na kutegemea kupata pesa kwa kwenda kuombewa kwa wachungaji na ndiyo chanzo cha umasikini Tz?

Na ueleze ni vp hao viongozi wa dini tunaoona wakitajirika kwa michango ya waumini wakati wewe unasema watu hawafanyi kazi na hutegemea kupata pesa kwa kuombewa na wachungaji.
 
Nashangaa sana mtu anayesema anaamini mungu ila haamini dini.
 
mkuu dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu, elewa kuwa dini sio Mungu na Mungu sio dini, hebu angalia waanzilishi wa dini wakati huo kama Musa, Budha, Yesu, Mohamed [saw] nk, wote hawa walikuwa wapigania uhuru wa wakati wao sawa na wapigania uhuru wa kwetu hapa afrika mfano Mwalimu Nyerere, Nkwame Nkuruma, Kaunda, Haile Selasie, Mugabe, Mandela nk. wpigania uhuru hawa walikuwa na karama zinazotofautiana, lakini wote hawa wanatokana na Mungu wakiwa na ujumbe wa Mungu kwa wanadamu wa wakati wao, isipokuwa karama za wapigania uhuru wa enzi za akina Musa zilifanywa kuwa dini yaani itikadi badala ya kuwa falsafa,
 
Ndiyo maana nikasema nawashangaa sana watu kama mnaoamini mungu na hamuamini dini.

Haya unayoyaeleza umeyapata wapi ili watu waache kusikiliza yanayoelezwa kwenye dini ili kusikiliza ya kwako? maana umesema dini hazina uhusiano wowote na mungu ni kwamba zimetungwa tu na watu,lakini wewe pia hapo unaeleza masuala ya kumuhusu mungu sijui umeyatoa wapi.

Halafu umekubali kuwa akina Musa Yesu na Muhammad walikuwa wana ujumbe kutoka kwa mungu kuwaletea watu,na unasema kuwa wao ndiyo waanzilishi wa dini.

Je,ni ujumbe gani ambao walikuja nao kutoka kwa mungu kwa kutumia dini? na kipi kilikuwa ni ushahidi kuwa ni kweli wametumwa na mungu kuleta ujumbe?
 
Imani ni kuamini mambo makubwa yatarajiwayo yasiyoonekana ambayo ni sayansi, hii dhahiri kuwa ujumbe huu ulikuwa wa Mungu, uwe ya akili ya kufikiri na kupambanua
 
Mkuu ukiulizwa A unajibu C.

Sijaona maana ya kujakueleza tafsri yako ya neno imani,jamaa una majibu mepesi kwenye maswali magumu.
 
Ndiyo maana nikasema nawashangaa sana watu kama mnaoamini mungu na hamuamini dini.

Haya unayoyaeleza umeyapata wapi ili watu waache kusikiliza yanayoelezwa kwenye dini ili kusikiliza ya kwako? maana umesema dini hazina uhusiano wowote na mungu ni kwamba zimetungwa tu na watu,lakini wewe pia hapo unaeleza masuala ya kumuhusu mungu sijui umeyatoa wapi.

Halafu umekubali kuwa akina Musa Yesu na Muhammad walikuwa wana ujumbe kutoka kwa mungu kuwaletea watu,na unasema kuwa wao ndiyo waanzilishi wa dini.

Je,ni ujumbe gani ambao walikuja nao kutoka kwa mungu kwa kutumia dini? na kipi kilikuwa ni ushahidi kuwa ni kweli wametumwa na mungu kuleta ujumbe?

nadhani hujamuelewa huyo ndugu, ni kweli kuwa dini na Mungu ni vitu viwili tofauti ila dini ni njia ambayo wanadamu tumejiwekea ya kumfikia huyo Mungu ingawa sio lazima sana kwani kuna watu wanawasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupitia dini
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana ni imani yangu kuwa hamjambo, poleni na heka heka za maisha

Km kichwa cha habari kinachojieleza hapo juu, nimeona leo nitoe dukuduku langu kuhusiana na hizi dini zilivyo tushika, na kweli tumeshikika na wametuweza na wamefanikiwa sana katika hili, na sisi pasi na kujiuliza tulikubali kuzipokea tukapumbazika, tukawaacha wakawekeza dini zao km vitega uchumi, haikutosha ili kutumaliza kabisa wakadai kuwa, dini zote za watu weusi, zikiwapo mila, desturi na tamaduni zao zote ni zamashetani.

Ndio maana adui wa maradhi, ujinga na umasikini ametuganda kwa sababu akili zetu zimedumaa, tunaendeshwa km gari bovu, hii ni kwasababu tumekubali kuwa vibaraka wa kupigania dini za watu, kupitia dini wametugawa vipande vipande, hawa watu waliotuletea dini wanadai kuwa wao ni mitume na manabii wa Mungu, shetani kwa mujibu wadini zao wanadai kuwa ana sura na maumbile mabaya eti ana mikia mingi mwenye rangi nyeusi km mwaafrika, huu ni upuuzi kabisa.

Tupo hivi tulivyo kwa sababu tuliacha mila, desturi na tamaduni zetu badala yake tukaamua kukumbatia mila na desturi za wengine. Kupitia tamaduni zao wanatudharau sasa kwa kusema kuwa mila, tamaduni na desturi zetu nitatokana na mashetani. Kwa mujibu wa dini hizi wanadai kuwa hapajawahi wala kupata kutokea kwa malaika mweusi tangu kuwapo kwa dunia,

Binafsi huwa nasema na nasema tena dini ni ujinga, tufundishwa ujinga na tumeamini ujinga na huenda waliamua kuletea dini kwa sababu kuna kifo na pengine kifo kisingekuwepo kusingekuwa na kitu dini, hebu tuache kudharauliana na kutengana sisi kwa sisi kwa sababu tu wewe wazijua mila za kiarabu na wewe wazijua mila za kizungu, turudi kwenye asili yetu, hizi dini za kiyahudi na kiarabu hazitatufikisha popote zaidi ya kuendelea kutufanya wajinga.
Huwa naumia sana pale ninapozungumza na marafiki zangu ambao ni walokole nikawataka wawafanye viongozi wa makanisa yao wawe countable kwa sadaka na zaka wanazotoa, huwa wepesi sana wa kukasirika wakidai hayo wanamwachia Mungu wanachoangalia wao ni kuwa maombi yao kwa kupitia hao viongozi wao yanajibiwa bila shida yeyote. Halafu bahati mbaya viongozi wengi wa dini hawawafundishi waumini wao namna ya kutengeneza pesa zaidi ya kuwakamua tu hasa kwa kile kidogo walicho nacho, kiukweli huwa inaniumiza sana. Pia unakuta mtu anashinda kanisani siku tano za wiki bila kufanya kazi na ukimuuliza kama kanisa linamlipa anasema hapana anafanya kazi ya Mungu, mtu kama huyu ataachaje kuwa maskini mnadhani.
 
watu hali mbaya mpaka wanaanza kukufuru, Muombe Mungu japo huna imani hiyo akusaidie , daaaaa ugumu wa maisha ni kipimo cha akili
 
Back
Top Bottom