Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

Heshima kwenu mabibi na mabwana ni imani yangu kuwa hamjambo, poleni na heka heka za maisha

Km kichwa cha habari kinachojieleza hapo juu, nimeona leo nitoe dukuduku langu kuhusiana na hizi dini zilivyo tushika, na kweli tumeshikika na wametuweza na wamefanikiwa sana katika hili, na sisi pasi na kujiuliza tulikubali kuzipokea tukapumbazika, tukawaacha wakawekeza dini zao km vitega uchumi, haikutosha ili kutumaliza kabisa wakadai kuwa, dini zote za watu weusi, zikiwapo mila, desturi na tamaduni zao zote ni zamashetani.

Ndio maana adui wa maradhi, ujinga na umasikini ametuganda kwa sababu akili zetu zimedumaa, tunaendeshwa km gari bovu, hii ni kwasababu tumekubali kuwa vibaraka wa kupigania dini za watu, kupitia dini wametugawa vipande vipande, hawa watu waliotuletea dini wanadai kuwa wao ni mitume na manabii wa Mungu, shetani kwa mujibu wadini zao wanadai kuwa ana sura na maumbile mabaya eti ana mikia mingi mwenye rangi nyeusi km mwaafrika, huu ni upuuzi kabisa.

Tupo hivi tulivyo kwa sababu tuliacha mila, desturi na tamaduni zetu badala yake tukaamua kukumbatia mila na desturi za wengine. Kupitia tamaduni zao wanatudharau sasa kwa kusema kuwa mila, tamaduni na desturi zetu nitatokana na mashetani. Kwa mujibu wa dini hizi wanadai kuwa hapajawahi wala kupata kutokea kwa malaika mweusi tangu kuwapo kwa dunia,

Binafsi huwa nasema na nasema tena dini ni ujinga, tufundishwa ujinga na tumeamini ujinga na huenda waliamua kuletea dini kwa sababu kuna kifo na pengine kifo kisingekuwepo kusingekuwa na kitu dini, hebu tuache kudharauliana na kutengana sisi kwa sisi kwa sababu tu wewe wazijua mila za kiarabu na wewe wazijua mila za kizungu, turudi kwenye asili yetu, hizi dini za kiyahudi na kiarabu hazitatufikisha popote zaidi ya kuendelea kutufanya wajinga.
Tangu nianze kutumia jf,,wewe ndio umeongea kitu cha maana na ukweli,, dini ni kitega uchumi cha wajanja wachache waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri ila wavivu wa kufanya kazi so wakaamua kutengeneza mlija wa kutiririsha note/pesa(sadaka) toka kwenye kundi kubwa la wajinga wanaopata pesa zao kwa tabu na shida na wao kuzichuma kirahisi,,,,ukitaka kujua dini/mila zetu zilikuwa na nguvu na zenye kutoa majibu angalia wazee walienda kuomba kwenye miti mikubwa,,makaburi,,mito,, mapango n.k na majibu yalipatikana iwe njaa,,ukame au magonjwa,,,leo nani anaomba hata tone la mvua linanyesha??Asante sana kwa ukweli na uwazi!!!
 
wakristo wanaamini kwamba Mungu ana mtoto Yesu, waisilamu wanasema Mungu hazai kwa kuwa hana mke kati ya hawa wawili nani mkweli?
kwani wewe huoni km dini imetugawa?wakristo tupo zaidi ya madhehebu 5 na kutwa kukashifiana sisi kwa sisi na ukristo sasa hv biashara,,afadhali kdg wenzetu waislam,,,wachugaji kibao wana upako wa nigeria
 
mkuu wana dini na wapiga ramli ni kitu kimoja, dini ni ramli na ramli ni dini huo ndo ukweli, asante kwa kuwa umeshtuka tuendelee kuwajuza na wengine kuwa wanaliwa
 
tatizo lililokuwepo watu wengi badala ya kuijadili dini yenyewe yaani kujadili maandiko wengi hujadili watu ya mzungu na mwanarabu,kwa mfano ndani ya qur an inasema msikubali kudhurumu wala kudhurumiwa,lipeni kisasi mtu akiuwa mke na nyinyi ueni mke wao,jicho kwa jicho na jino kwa jino,tuchukulie mzungu kaja kuchukua heka 1000 za wanakijiji kwa njia kwamba atajenga shule lakini eneo lililobaki akafanyia mambo yake mengine binafsi wanakijiji wakiamua kukataa na kuwatayari kwa lolote huyuhuyu mtu atawalaumu wanakijiji kwa kupinga maendeleo,watu wanafiki hivi hawa wanaopora madini yetu,tembo,na mambo mengine wamekuja na dini gani.richmond,escro,rada,ndege,vichwa vibovu vya treni walikuja na dini ipi?wacha unafiki na upotoshaji usio na msingi
 
mafundisho ya ukristo yanasema hivi, usipende mali za dunia uzihesabu kuwa km mavi
msisumbuke kwa neno lolote bali ktk kusali na kuomba, watu hawafanyi kazi wanasubiri mungu afanye muujiza, maneno haya yameua akili za watu, kufiri na kuamua la kufanya, wanakaa mwisho wa siku hawafanikiwi,

toa sadaka na zaka sipotoa sadaka na zaka wewe ni mwizi, unamwibia mungu, Je nani anayemtegemea mwenzake, ni Mungu anamtegemea binadamu? ama binadamu anamtegemea Mungu? aangalia kanisa katoliki na makanisa ya ki protestant zaka na sadaka hutumika kutoa huduma za jamii km vile kujenga hosp, shule, vyuo na huduma nyingin za kijamii, je makanisa ya kilokole na misikiti sadaka na zaka zao zinaenda wapi? hawajengi shule, hosp, wala huduma zozote washirika wao ni masikini wa kutupwa, viongozi wao ndio miungu watu, hilo unalisemeaje?
Mkuu mbona unazungumzia masuala ya dini na waumini wake? mie nataka uzungumzie dini ilivyosababisha umasikini Tz.

Sasa hayo uliyoyaeleza sioni kama yanajibu nilichouliza Mimi.
 
Tangu nianze kutumia jf,,wewe ndio umeongea kitu cha maana na ukweli,, dini ni kitega uchumi cha wajanja wachache waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri ila wavivu wa kufanya kazi so wakaamua kutengeneza mlija wa kutiririsha note/pesa(sadaka) toka kwenye kundi kubwa la wajinga wanaopata pesa zao kwa tabu na shida na wao kuzichuma kirahisi,,,,ukitaka kujua dini/mila zetu zilikuwa na nguvu na zenye kutoa majibu angalia wazee walienda kuomba kwenye miti mikubwa,,makaburi,,mito,, mapango n.k na majibu yalipatikana iwe njaa,,ukame au magonjwa,,,leo nani anaomba hata tone la mvua linanyesha??Asante sana kwa ukweli na uwazi!!!
Mbona hadi sasa bado watu wanadumisha hayo mambo,kwani huoni watu wanaoua Albino ili waombe utajiri?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mkuu uliposema ett shetan ana mikia mingi na rangi nyeusi... kweli walituweza...

Inafika mahali ett hawa wanamajina ya kiarabu hawa ya kisungu...

Ett huyu Godwin huyu Hussein... Upuuzi mtupu
 
Kama walutuletea din il watutawale mbona na wao mpka sasa wanasali
 
Maskini Tanzania na watanzania wake. Ukiona watu wamefikia hapa ujue khali mbaya sana. Na bado mpaka mumjue huyo Mungu mlioletewa na wazungu ndo mtoke.
Miaka zaidi ya hamsini ya Uhuru ndo mmekuja kutambua hili au kwa sababu ya khali mbaya ya maisha iliyopo sasa Tanzania. Ukristo cjui uislamu nielewavyo mimi ni moja ya mila tena mila ya maana sana iliyoziboresha na kuzipatia maana mila zingine. Mpaka sasa mila njema za mtanzania zimeboreshwa sana nendeni uchagani mjionee mkoa unaoongoza kwa kuwa na wakristo wengi lkn wanazo mila nyingi nzuri sana. Mlitaka kuendelea kuloga ndio mseme mila. Ebu tutazame tatizo letu ni nini mpaka watawala wakubwa wanawaza kurudi kututawala tena maaana ni kama hatuwezi kujitawala wenyewe. Mimi nawashukuru sana watu wa dini maana wasingekuja mahispital makubwa tungeyapata wapi mashule mazuri na idea ya shule tungepata wapi hata Leo hii tukawez kutumia mtandao na kuwatukana waliotusaidia. Watanzania acheni upumbavu jaribu kujadiri kilichotufikisha hapa sio kupotosha watu. Hakuna mtu analazimishwa kusali lkn makanisa yanajaa atajitetea mwenyewe kama yupo. Nendeni mfanye kazi kwa maendeleo acheni mada za kipumvavu namna hii. Mimi niko ughaibuni nawalilia sana watanzania maana naona namna wenzetu wanavyopambana na maisha licha ya kutokuw na maeneo mazuri kam yetu. Hawalali wanatafuta mpaka wamekuwa matajiri sisi timebaki kuwaambia watu wajiajili wakati hata shamba tu ya mchicha hatuna. Wamisionari ambao mmediliki kuwaita wakoloni ndo wametuelekeza mambo mengi ya maendeleo na walipoona vichwa vigumu tu tunapenda kutega mikono tu kupokea bila kutafuta wakaamua kurudi zao. Hata hivyo kama walichukua hawakuwa na namna maana waliokota kwa mijitu isiyojitambua. Wacha niende zangu kusali niachane na watanzania hawa wanawaza maisha kitandani. Nikitoka tu naingia mzigoni mpaka kieleweke. Fanya kazi kama ufi na mtumikie. Mungu kama unakufa Leo.
 
Hapa mkuu naona unapotoka....

Kwenye suala hili Biblia inahusikaje na udanganyifu walioufanya hawa wakoloni?

Mfano nikija na kukudanganya halafu nikakupa andazi kisha wewe ukanipa hati ya nyumba yako,andazi litakuwa linahusika namna ipi kwenye udanganyifu niliokufanyia?
Umetoa mfano Tofauti.
Huwezi kufananisha bahasha iliyofungia ujumbe na andazi, biblia ina ujumbe wewe umetoa mali, kuna tofauti hapo
 
tatizo lililokuwepo watu wengi badala ya kuijadili dini yenyewe yaani kujadili maandiko wengi hujadili watu ya mzungu na mwanarabu,kwa mfano ndani ya qur an inasema msikubali kudhurumu wala kudhurumiwa,lipeni kisasi mtu akiuwa mke na nyinyi ueni mke wao,jicho kwa jicho na jino kwa jino,tuchukulie mzungu kaja kuchukua heka 1000 za wanakijiji kwa njia kwamba atajenga shule lakini eneo lililobaki akafanyia mambo yake mengine binafsi wanakijiji wakiamua kukataa na kuwatayari kwa lolote huyuhuyu mtu atawalaumu wanakijiji kwa kupinga maendeleo,watu wanafiki hivi hawa wanaopora madini yetu,tembo,na mambo mengine wamekuja na dini gani.richmond,escro,rada,ndege,vichwa vibovu vya treni walikuja na dini ipi?wacha unafiki na upotoshaji usio na msingi
misingi ya huo ufisadi ni nini?
 
Maskini Tanzania na watanzania wake. Ukiona watu wamefikia hapa ujue khali mbaya sana. Na bado mpaka mumjue huyo Mungu mlioletewa na wazungu ndo mtoke.
Miaka zaidi ya hamsini ya Uhuru ndo mmekuja kutambua hili au kwa sababu ya khali mbaya ya maisha iliyopo sasa Tanzania. Ukristo cjui uislamu nielewavyo mimi ni moja ya mila tena mila ya maana sana iliyoziboresha na kuzipatia maana mila zingine. Mpaka sasa mila njema za mtanzania zimeboreshwa sana nendeni uchagani mjionee mkoa unaoongoza kwa kuwa na wakristo wengi lkn wanazo mila nyingi nzuri sana. Mlitaka kuendelea kuloga ndio mseme mila. Ebu tutazame tatizo letu ni nini mpaka watawala wakubwa wanawaza kurudi kututawala tena maaana ni kama hatuwezi kujitawala wenyewe. Mimi nawashukuru sana watu wa dini maana wasingekuja mahispital makubwa tungeyapata wapi mashule mazuri na idea ya shule tungepata wapi hata Leo hii tukawez kutumia mtandao na kuwatukana waliotusaidia. Watanzania acheni upumbavu jaribu kujadiri kilichotufikisha hapa sio kupotosha watu. Hakuna mtu analazimishwa kusali lkn makanisa yanajaa atajitetea mwenyewe kama yupo. Nendeni mfanye kazi kwa maendeleo acheni mada za kipumvavu namna hii. Mimi niko ughaibuni nawalilia sana watanzania maana naona namna wenzetu wanavyopambana na maisha licha ya kutokuw na maeneo mazuri kam yetu. Hawalali wanatafuta mpaka wamekuwa matajiri sisi timebaki kuwaambia watu wajiajili wakati hata shamba tu ya mchicha hatuna. Wamisionari ambao mmediliki kuwaita wakoloni ndo wametuelekeza mambo mengi ya maendeleo na walipoona vichwa vigumu tu tunapenda kutega mikono tu kupokea bila kutafuta wakaamua kurudi zao. Hata hivyo kama walichukua hawakuwa na namna maana waliokota kwa mijitu isiyojitambua. Wacha niende zangu kusali niachane na watanzania hawa wanawaza maisha kitandani. Nikitoka tu naingia mzigoni mpaka kieleweke. Fanya kazi kama ufi na mtumikie. Mungu kama unakufa Leo.
usichanganye dini na sayansi, dini si sayansi na sayansi si dini, Mungu si dini na wala Mungu si dini, dini ni mawazo ya wnadamu juu ya Mungu, kwa hali hiyo dini wachawi na wapiga ramli ni kitu kimoja, wote hawa wanafanya biashara kuuza pepo, wanaimarisha ujinga,

dini zinasema msijisumbue kwa neno lolote bali katika kusali nakuomba na kushukuru na Bwana atafanya yaani ukae na ususubiri jibu toka kwa Mungu, Je hilo ni neno la Mungu? km wajua historia vizuri dini ndio kikwazo cha kwanza katika maendeleo ya binadamu, kasome human social development imeeleza wazi, kwamba dini ni kikwazo kwa maendeleo ya binadam, wakoloni walitumia dini kukupumbazeni waafrika wakadi eti wametumwa na Mungu.

historia ya biashara ya utumwa inajichanganua wazi kwamba wafanyabiashara wa utumwa wa kiarabu na kizungu wote walijipambanua kwamba ni mitume wa Mungu, walichinja na kutesa waafrika kupitia mgongo wa dini,
 
usichanganye dini na sayansi, dini si sayansi na sayansi si dini, Mungu si dini na wala dini si Mungu, dini ni mawazo ya wnadamu juu ya Mungu, kwa hali hiyo dini, wachawi na wapiga ramli ni kitu kimoja, wote hawa wanafanya biashara kuuza pepo, wanaimarisha ujinga,

dini zinasema msijisumbue kwa neno lolote bali katika kusali nakuomba na kushukuru na Bwana atafanya yaani ukae na ususubiri jibu toka kwa Mungu, Je hilo ni neno la Mungu? dini ndio kikwazo cha kwanza katika maendeleo ya binadamu, kasome human social development imeeleza wazi, kwamba dini ni kikwazo kwa maendeleo ya binadam, wakoloni walitumia dini kukupumbazeni waafrika wakadi eti wametumwa na Mungu.

historia ya biashara ya utumwa inajichanganua wazi kwamba wafanyabiashara wa utumwa wa kiarabu na kizungu wote walijipambanua kwamba ni mitume wa Mungu, walichinja na kutesa waafrika kupitia mgongo wa dini, dini ni ujinga uliosababisha umasikini
 
usichanganye dini na sayansi, dini si sayansi na sayansi si dini, Mungu si dini na wala Mungu si dini, dini ni mawazo ya wnadamu juu ya Mungu, kwa hali hiyo dini wachawi na wapiga ramli ni kitu kimoja, wote hawa wanafanya biashara kuuza pepo, wanaimarisha ujinga,

dini zinasema msijisumbue kwa neno lolote bali katika kusali nakuomba na kushukuru na Bwana atafanya yaani ukae na ususubiri jibu toka kwa Mungu, Je hilo ni neno la Mungu? km wajua historia vizuri dini ndio kikwazo cha kwanza katika maendeleo ya binadamu, kasome human social development imeeleza wazi, kwamba dini ni kikwazo kwa maendeleo ya binadam, wakoloni walitumia dini kukupumbazeni waafrika wakadi eti wametumwa na Mungu.

historia ya biashara ya utumwa inajichanganua wazi kwamba wafanyabiashara wa utumwa wa kiarabu na kizungu wote walijipambanua kwamba ni mitume wa Mungu, walichinja na kutesa waafrika kupitia mgongo wa dini,
na lile andiko linalosema na asiefanyakaz na asile?
 
kwani wewe huoni km dini imetugawa?wakristo tupo zaidi ya madhehebu 5 na kutwa kukashifiana sisi kwa sisi na ukristo sasa hv biashara,,afadhali kdg wenzetu waislam,,,wachugaji kibao wana upako wa nigeria
Yaani ipo hivi mtu haamini kuwa unaweza kuwa mtaalam wa jambo fulani bila kusoma,lakini mtu huyohuyo anaamini unaweza kuifahamu dini bila kuisoma,tusome vitabu ili tuijue dini na hapo hakuna wa kuwayumbisha
 
mkuu wana dini na wapiga ramli ni kitu kimoja, dini ni ramli na ramli ni dini huo ndo ukweli, asante kwa kuwa umeshtuka tuendelee kuwajuza na wengine kuwa wanaliwa
unakijua unachosema au ilimradi,kwani ramli ni nini?na dini ni nini?
 
Mkuu mbona unazungumzia masuala ya dini na waumini wake? mie nataka uzungumzie dini ilivyosababisha umasikini Tz.

Sasa hayo uliyoyaeleza sioni kama yanajibu nilichouliza Mimi.
dini imesababisha umasikini ndio kwa kutuaminisha ujinga, dini imetuaminisha kwamba
mali za dunia tusihangaike nazo bali tuhangaike na yaliyo juu,
tuhesababu utajiri na vyote vya dunia km mavi je mafundisho haya si chanzo cha umasikini? kwamba unafunga safari kwa mchungaji akakuombee ili upate pesa, si ujinga na umasikini wa kufikiri huu? eti uombe Mungu na usubiri majibu,
mafundisho ya aina hii ymechangia kiasi kikubwa wtu kutojituma wakitarajia eti atapokufa ataenda pepoponi kwenye raha ya milele eti huko atapata maisha mazuri
upuuzi
 
Back
Top Bottom