Mi nataka kujua aina ya ujumbe waliyokujanao,kipimo gani utatumia kujua lipi zuri na lipi baya? na baya kwa nani kwa mungu au binaadamu?Kasome misaafu yao uchambue, mazuri yote yanatokana na Mungu lkn mabaya ni mawazo ya waandishi
mkuu kwani wwe hapo ulipo huna akili za kujua jema na baya?Mi nataka kujua aina ya ujumbe waliyokujanao,kipimo gani utatumia kujua lipi zuri na lipi baya? na baya kwa nani kwa mungu au binaadamu?
Kwasababu unaiangalia leo yako. Hufikirii kuiandaa kesho yakoBnafsi dini imenisaidia sana malezi yao walivyonielekeza na kunielea kiutu na kimaadili ni mtu muhimu sana ktk position yangu kama mtumishi wa umma na mwanadamu kweli ninayejiheshimu n kuwaheshimu wenzangu
Hebu nitajia mfano wa jambo lilipo kwenye hiyo misahafu ambalo umesema ni mawazo ya waandishi.mkuu kwani wwe hapo ulipo huna akili za kujua jema na baya?
maandiko yote yalikopo mwenye misaafu au vitabu vya dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu,Hebu nitajia mfano wa jambo lilipo kwenye hiyo misahafu ambalo umesema ni mawazo ya waandishi.