Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Licha ya kwamba si kubaliani na mambo kadha wa kadha yanayo tekelezwa na wakomunisti lakini kuna baadhi ya mambo wanajitahidi mfano kuweka dini na siasa mbali hilo moja.
Leo tuizungumzie namna ambavyo mbinu za wakomunisti kwangu ndizo mbinu bora kutwaa madaraka kutoka kwa watawala wapuuzi.
Kwa kufuata historia ya vyama vya kikomunisti duniani na namna ukomunisti ulivyoweza kuingia sehemu mbalimbali za duniani ninasema kuwa mbinu za kikomunisti kutwaa madaraka zimethibitisha kuwa ndio mbinu bora kupambana na tawala zilizoshindikana na za hovyo.
Hawa wakomunisti kwanza kabisa wanaisambaza ideology yao kwa jamii nzima waielewe mtaa kwa mtaa Kijiji kwa Kijiji mkoa kwa mkoa mpaka karibia nchi nzima.
Hiyo ideology yao wanaisambaza kwa kundi kandamizi ambalo ndilo kubwa katika jamii ili liweze kujua ni kipi na kipi hakipo sawa na kinapaswa kupambaniwa.
Baada ya kufanya hivyo wanaji organize wote kwa pamoja wanaitisha maandamano makubwa kupinga yale wasiyo yataka baada ya hapo wanazama msituni kama mbwai na iwe mbwai mpaka utawala uanguke.
Hapo litapigwa battle kati ya serikali iliyopo madarakani na wananchi wenye hasira kali mpaka serikali itakimbia ikulu yenyewe.
Na jambo la kufurahisha haya yote wanao ya organize ni vijana wadogo tu lakini wanapambana na serikali ki ideology na pamoja na battle la msitu kwa msitu mpaka serikali ina surrender.
Wacha niweke wazi kuwa mimi binafsi sio muumini kuwa utawala dhalimu unaangushwa kwa njia kubembelezwa nina kubaliana na wakomunisti kuwa nguvu ya umma pekee ndio ina angusha tawala dhalimu