Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ile mobilisation aliyoianzisha rais Tshisekedi ni kama inaanza kuzaa matunda, vijana wanaonekana kuwa na morali na hasira kali sana. Japo sijajua uiamara wa mafunzo yao, ila kwa kinachoendelea, nadhani at some point Kagame itabidi afanye reassessment ya alichokuwa anakifanya Congo.
Kama vita vitazuka kati ya Congo na Rwanda, Rwanda wanaweza kujikuta kwenye hali ngumu sana, hususani kwasababu ni nchi ndogo na pia ni land locked country. Logistic inaweza kuwa ngumu sana kwao kuweza kupata supply ya silaha. Option inaweza kuwa ni kupitia Tanzania, au kupitia Uganda kupitia Kenya. Ila pia ukiangalia vizuri sana historia ya Kagame na Tanzania pia kuna mushikeli mkubwa, hususani pia JK kipindi fulani alitaka kuzichapa na Kagame.
Njia ya uhakika nadhani labda itakuwa ni Uganda ambayo naweza sema ndo kama rafiki wa Rwanda.
So my take ni kwamba, Congo inavyonesha dhamira ya kupigania ardhi yake, hiyo inakuwa hatari sana kwa Kagame, japo wanasema wanajeshi wa Rwanda ni strong ila ni ngumu sana pia kupigana na adui mwenye wanajeshi wengi kama Congo.
So hapa nadhani Kagame itabidi abadili gia angani, kwasababu huyu Tshisekedi ni kama haya maji ameyavulia nguo, na inavyoonekana hapa, next year 2023, lazima kuna uwezekano mkubwa kikanuka kati ya Congo na Rwanda.