Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,721 ERoni said: Hongera mkuu Tembosa, Hili jukwaa la wakongwe liheshimike. Miaka imeenda sana aloo. Click to expand... Yeaah!! Mbishe za kina Nyani Ngabu na kina @lara1 zimelala sasa. Hawa watu walijua kukiwasha balaa
ERoni said: Hongera mkuu Tembosa, Hili jukwaa la wakongwe liheshimike. Miaka imeenda sana aloo. Click to expand... Yeaah!! Mbishe za kina Nyani Ngabu na kina @lara1 zimelala sasa. Hawa watu walijua kukiwasha balaa
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Aug 15, 2023 #2,722 Tembosa said: Watu tumepoa Click to expand... Majukumu
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,723 Ndio hivyo lakini maisha yanasonga sana
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,724 mtu chake said: Majukumu Click to expand... Wakongwe pia wanaogopa dhoruba ya vijana
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,725 Anyway life goes on
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,726 Tukumbuke tu kutunza Mazingira
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,727 Ni muhimu sana kutunza mazingira
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,728 Kila mtu atunze Mazingira. Huku kwa ground hali si hali
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Aug 15, 2023 #2,729 Tembosa said: Wakongwe pia wanaogopa dhoruba ya vijana Click to expand... Vijana wana speed,
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Aug 15, 2023 #2,730 mtu chake said: Majukumu Click to expand... Na uzee mkuu.🤣🤣 Fikiria toka 2010 huko mnakiwasha tu humu.
mtu chake said: Majukumu Click to expand... Na uzee mkuu.🤣🤣 Fikiria toka 2010 huko mnakiwasha tu humu.
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,731 mtu chake said: Vijana wana speed, Click to expand... Ya balaa. Ila kuna wakongwe wamerekebisha username
mtu chake said: Vijana wana speed, Click to expand... Ya balaa. Ila kuna wakongwe wamerekebisha username
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,732 ERoni said: Na uzee mkuu.🤣🤣 Fikiria toka 2010 huko mnakiwasha tu humu. Click to expand... Kwa sasa mtoto amezaliwa na ameshafika Darasa la Saba au Form One!!
ERoni said: Na uzee mkuu.🤣🤣 Fikiria toka 2010 huko mnakiwasha tu humu. Click to expand... Kwa sasa mtoto amezaliwa na ameshafika Darasa la Saba au Form One!!
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,733 Hivi Wale mliosema hatufiki Dar!! Hapa ni Wapi?
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,734 Ndio mjue sasa. Tuko mjini
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,735 Tuendelee kuyatunza mazingira yetu.
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,736 Tusikubali kuja kuishi sehemu ngumu
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,737 Ukiwana na uwezo na eneo usiache kupanda miti.
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,738 Miti huvyonza hewa ya ukaa[CO²)
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,739 Tuwe mabalozi wazuri
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,487 Reaction score 3,978 Aug 15, 2023 Thread starter #2,740 Tuandae siku njema zijazo kwa watoto wetu na wajukuu