Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Nilipata msisimuko in negative way, kuna memba nilikuwa namkubali sana harakati zake, siku naingia JF nakutana na threads ametangulia mbele za haki. Niliumia sana kama namfahamu vile continue to rest in peace dear WARUMI , wewe jee tukio gani??
Ooh! Pole sana.
Huyu mtu kumbe alishatangulia mbele za haki?
Aendelee kupumzika kwa Amani.

Mimi ni tukio la binti mmoja kuibiwa na mtu anayeitwa Controller.

Mwamba alikuja na mi idea yake ya biashara, Dada akamwelewa wakaanza biashara,

Ile biashara wakalogwa wakachanganya na Mapenzi.

Controller akaanza kuchakata mbususu ya bidada.

Baada ya muda kumbe jamaa lengo lake halikuwa hilo wala nini, ni target ya kumpiga tu.

Dada akatoa pesa sijui ya nini huko, kama 400k hivi, jamaa akazama zake ndichi. 😃 😀 😄

Ile kutaka moneyback jamaa akamchapa mkwara mzito.

Ishu ndio ikahamia hapa jukwaani sasa.

Daaah mdau akaanza kumsema bidada kuwa ana ma UTI n.k

Sijui kama pesa ilirudi. Ila mpaka leo nikimwona mwamba hapa jukwaani namwona kama Tapeli hivi...😀😀😀
 
Kwa hiyo hilo tukio bado huwa nalikumbuka sana
 
Ooh! Pole sana.
Huyu mtu kumbe alishatangulia mbele za haki?
Aendelee kupumzika kwa Amani.

Mimi ni tukio la binti mmoja kuibiwa na mtu anayeitwa Controller.

Mwamba alikuja na mi idea yake ya biashara, Dada akamwelewa wakaanza biashara,

Ile biashara wakalogwa wakachanganya na Mapenzi.

Controller akaanza kuchakata mbususu ya bidada.

Baada ya muda kumbe jamaa lengo lake halikuwa hilo wala nini, ni target ya kumpiga tu.

Dada akatoa pesa sijui ya nini huko, kama 400k hivi, jamaa akazama zake ndichi. [emoji2] [emoji3] [emoji1]

Ile kutaka moneyback jamaa akamchapa mkwara mzito.

Ishu ndio ikahamia hapa jukwaani sasa.

Daaah mdau akaanza kumsema bidada kuwa ana ma UTI n.k

Sijui kama pesa ilirudi. Ila mpaka leo nikimwona mwamba hapa jukwaani namwona kama Tapeli hivi...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hio ilikua uwongo!
 
Hahaha huku akili za kuambiwa changanya na zako aisee, pole yake bidada. Ndio mkuu alishatangulia mbele za haki.
 
Ooh! Pole sana.
Huyu mtu kumbe alishatangulia mbele za haki?
Aendelee kupumzika kwa Amani.

Mimi ni tukio la binti mmoja kuibiwa na mtu anayeitwa Controller.

Mwamba alikuja na mi idea yake ya biashara, Dada akamwelewa wakaanza biashara,

Ile biashara wakalogwa wakachanganya na Mapenzi.

Controller akaanza kuchakata mbususu ya bidada.

Baada ya muda kumbe jamaa lengo lake halikuwa hilo wala nini, ni target ya kumpiga tu.

Dada akatoa pesa sijui ya nini huko, kama 400k hivi, jamaa akazama zake ndichi. [emoji2] [emoji3] [emoji1]

Ile kutaka moneyback jamaa akamchapa mkwara mzito.

Ishu ndio ikahamia hapa jukwaani sasa.

Daaah mdau akaanza kumsema bidada kuwa ana ma UTI n.k

Sijui kama pesa ilirudi. Ila mpaka leo nikimwona mwamba hapa jukwaani namwona kama Tapeli hivi...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii issue ilitikisa sana balaa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom