Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Ofisi Mpya ya Bwana Maharage!!
 

Attachments

  • 20230927_160526.jpg
    20230927_160526.jpg
    529.1 KB · Views: 1
Kitayosce wanapeleka mashambulizi makali kwa Costal
 
Inapigwa free kick hapa kuelekea Kitayosce
 
Buti zinatembea uwanjani.
Hakuna mpira wa utulivu hapa.
 
Mchezaji wa Kitayosce yuko chini.
Akipatiwa huduma ya kwanza
 
Semfuko Charles wa Coastal anapewa kadi ya Njano hapa
 
Back
Top Bottom