Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Nitarudi kumalizia ngwe ya kipindi cha pili.
 
Linatokea shaambulizi kali langoni mwa Kitayosce ila halizai matunda
 
Huu utaratibu wa fair play kama vile hawauzingatii
 
Coastal wakidroo hii mechi, wanapaswa kulaumiwa kabisa
 
Wanapoteza sana umakini wanapokuwa wanashambulia
 
Back
Top Bottom