Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hivi Lundenga wa JF Ruhazwe JR alikimbia na zawadi ya mshindi..Kweli kabisa nilishiriki miss chit chat Bavaria kumbe ulifanikisha ushindi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Lundenga wa JF Ruhazwe JR alikimbia na zawadi ya mshindi..Kweli kabisa nilishiriki miss chit chat Bavaria kumbe ulifanikisha ushindi wangu
Kwikwikwikwi ....lara 1 NA Evelyn Salt NIMEWAPIGIA SANA MISELE KIPINDI HICHO ILA @EVELNY SALT ALIKUWA ANAHARIBU MIPANGO YANGU KWA lara 1 KIPINDI HICHO NAJIITA jipu
Je, unamaanisha ZAWADI YA MSHINDI kile kitabu cha liwaya? nadhani kimeandikwa na Ben R. MtobwaHivi Lundenga wa JF Ruhazwe JR alikimbia na zawadi ya mshindi..
Je, unamaanisha ZAWADI YA MSHINDI kile kitabu cha liwaya? nadhani kimeandikwa na Ben R. Mtobwa
Hahaaaa. Barabara kabisa. kiswahili ni lugha ngumu pia mkuuNadhani ulimaanisha/Unamaanisha Riwaya
mul mule...account zetu za zamani,tulishaziotesha nyoya...ila tupo hapaKuna watu hapa ni wataalam wakuandika wakija hapa ngoma ya wakongwe inatembea tu...
Nami itabidi niunge tera asyee...kama kitu umekirenue!Hunishindi mimi.
Yale mambo yetu tayari.
Sijui utakuja lini aisee....yaani kama mpya.
Nimefanyia mazoezi mpaka nimezoea.
duh kumbe pm mpaka ndele..Mie nina hamu na nyie?
Nilimfataga member wa Arusha wing usiku kwa usiku kisa alikuja Pm na akaniweka kinyumba.
PakaJimmy na Arushaone wabaya sana hawa watu....walikuwa wanakuja kunijulia hali kila siku kwa ndugu yao.
Pm nyingine zinakuwa mnawekaga limbwata mwaenzangu.
Tuonane jukwaani aisee...Pm kuna uchawi
Hahaaaa. Barabara kabisa. kiswahili ni lugha ngumu pia mkuu
Naja[emoji126] [emoji126]
Naja[emoji126] [emoji126]
Tiketi ntakuja nazo mwenyewe.....
Su ntamwambia baba,ntamwambia baba mnanisumbua[emoji126] [emoji126]Upitie kwangu ukitoka huko