Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Humu mna mdau akiitwa @Shizukani sikumbuki vizuri user name ila ikitaka kufanana na Id hiyo,nakumbuka nikimsoma sana humu miaka ya 2010/12 ila nilipojiunga simuoni humu..kipindi hiko Jf uki-login unakutana na nondo za kiutu uzima kama akili zako ndogo unaogopa kutia neno sio sasa kila mtu mjuaji malalamiko kibao sijui “kaniacha” mara huyu “demu wangu anapenda sana pesa” mara yule anaomba mbinu za kuchepuka ila kipindi hiko ulikuwa unasoma thread unaielewa na wachangiaji walikuwa na discipline ya mijadala..kwa maneno mepesi Jf ya wakati ule ilikuwa darasa yaani zaidi ya darasa.
 
Mie nina hamu na nyie?
Nilimfataga member wa Arusha wing usiku kwa usiku kisa alikuja Pm na akaniweka kinyumba.
PakaJimmy na Arushaone wabaya sana hawa watu....walikuwa wanakuja kunijulia hali kila siku kwa ndugu yao.
Pm nyingine zinakuwa mnawekaga limbwata mwaenzangu.
Tuonane jukwaani aisee...Pm kuna uchawi
duh kumbe pm mpaka ndele..
 
Back
Top Bottom