Wakongwe Forum

Humu mna mdau akiitwa @Shizukani sikumbuki vizuri user name ila ikitaka kufanana na Id hiyo,nakumbuka nikimsoma sana humu miaka ya 2010/12 ila nilipojiunga simuoni humu..kipindi hiko Jf uki-login unakutana na nondo za kiutu uzima kama akili zako ndogo unaogopa kutia neno sio sasa kila mtu mjuaji malalamiko kibao sijui “kaniacha” mara huyu “demu wangu anapenda sana pesa” mara yule anaomba mbinu za kuchepuka ila kipindi hiko ulikuwa unasoma thread unaielewa na wachangiaji walikuwa na discipline ya mijadala..kwa maneno mepesi Jf ya wakati ule ilikuwa darasa yaani zaidi ya darasa.
 
duh kumbe pm mpaka ndele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…