Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Mume wangu Filipo ameanza kuchepuka, sasa unasemaje?
Naomba ushauri. .stranded
Haujapotea njia hupo sahihi toa RV tuone kama itasaidia maana kwa kipindi kirefu nilingojea kwahamu sasa Mungu katenda japo najua wabaya ni wengi hata huyo. Asprin si mwema kwangu.
 
Haujapotea njia hupo sahihi toa RV tuone kama itasaidia maana kwa kipindi kirefu nilingojea kwahamu sasa Mungu katenda japo najua wabaya ni wengi hata huyo. Asprin si mwema kwangu.

Haha ha ha ha.. Eti Mungu katenda. ....

Huyo Asprin anatakiwa aache sasa. .ameshaona chululu nyingi sana. ..
 
Huo ugonjwa hauna dawa?

Halafu zamani huo ndio uliokuwa unatishia maisha. ..sasa hivi tunajiachia na ndomu
Hiyo red..... na ukubwa wako huu unaogopa wadudu? Hebu itendee haki nyama bhana...😵😵
 
Kuna majina tangu nijiunge JF ndio nayaona leo kweli hii ni wakongwe forum
 
Back
Top Bottom