Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Really? Jamani basi nihook up naye hata nimsalimie na kum appreciate. Naweza hata kumuachia kumbukumbu. I real value watu wanao ni appreciate.
Kila siku akiingia humu ni story za mrembo by nature kasema hiki, kasema kile.
 
Kila siku akiingia humu ni story za mrembo by nature kasema hiki, kasema kile.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa hapo umeongeza mkuu... story gani sasa mimi nimesema? Basi kumbe issue za wife ako ulikuwa umeweka fixxzz
 
Tembosa wewe utakuwa ulibadili ID maana haiwezekani ujue wakongwe wakati wewe sio mkongwe....na huwezi kusoma mwaka wa kujiunga wa kila mtu...hapo ipo namna. Hebu nijulishe basi ulikuwa unaitwa nani...au wewe ni Tonykp?
Nikiona Id ya Tonykp nakumbuka sekeseke la kutaka kuwekwa ndani Arusha kwa kesi ya wizi wa gari la kusingiziwa.
Kubabake....
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa hapo umeongeza mkuu... story gani sasa mimi nimesema? Basi kumbe issue za wife ako ulikuwa umeweka fixxzz
Hiyo tabia yako ya kubadili username bila kututaarifu wambea wenzanko uiache.
Mpaka nashindwa kukutag maana sikuoni humu.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa hapo umeongeza mkuu... story gani sasa mimi nimesema? Basi kumbe issue za wife ako ulikuwa umeweka fixxzz

Kuna ugomvi fulani jukwaa la celebrities. Alikuwa anafuatiliaga, sijui kulikua na ishu gani exactly. Ila nilisikia akitaja jina la Mange, Wewe.
 
Hiyo tabia yako ya kubadili username bila kututaarifu wambea wenzanko uiache.
Mpaka nashindwa kukutag maana sikuoni humu.
Shogaangu kuna maisha nje ya Jf. Mkate wa kila siku kwanza umbea baadae. Mwenzio kada mwaminifu.
Njoo inbox basi shostito unimegee
 
Back
Top Bottom