Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Really? Jamani basi nihook up naye hata nimsalimie na kum appreciate. Naweza hata kumuachia kumbukumbu. I real value watu wanao ni appreciate.Mke wangu alikuwa anampenda sana mrembo by nature.
Karibu.....Naomba nikuulize swali.
Unawachapa sana?Karibu.....
Kila siku akiingia humu ni story za mrembo by nature kasema hiki, kasema kile.Really? Jamani basi nihook up naye hata nimsalimie na kum appreciate. Naweza hata kumuachia kumbukumbu. I real value watu wanao ni appreciate.
Mkuu utaniharibia michakato yangu ujue....Unawachapa sana?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa hapo umeongeza mkuu... story gani sasa mimi nimesema? Basi kumbe issue za wife ako ulikuwa umeweka fixxzzKila siku akiingia humu ni story za mrembo by nature kasema hiki, kasema kile.
Nikiona Id ya Tonykp nakumbuka sekeseke la kutaka kuwekwa ndani Arusha kwa kesi ya wizi wa gari la kusingiziwa.
Hehehehehehe madam hebu tiririka maana wenyewe mmenirudisha enzi za umbea wakati mwenzenu siku hizi nategemewaNikiona Id ya Tonykp nakumbuka sekeseke la kutaka kuwekwa ndani Arusha kwa kesi ya wizi wa gari la kusingiziwa.
Kubabake....
Hiyo tabia yako ya kubadili username bila kututaarifu wambea wenzanko uiache.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa hapo umeongeza mkuu... story gani sasa mimi nimesema? Basi kumbe issue za wife ako ulikuwa umeweka fixxzz
Shoga angu acha tu.Hehehehehehe madam hebu tiririka maana wenyewe mmenirudisha enzi za umbea wakati mwenzenu siku hizi nategemewa
Nami itabidi niunge tera asyee...kama kitu umekirenue!
Hahaahha.duh kumbe pm mpaka ndele..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa hapo umeongeza mkuu... story gani sasa mimi nimesema? Basi kumbe issue za wife ako ulikuwa umeweka fixxzz
Mkuu utaniharibia michakato yangu ujue....
Nimeajiriwa na JF kwa kazi hiyo...80% ya muda wako humu upo "kazini?"
Hey bro.
Nimeajiriwa na JF kwa kazi hiyo...
Shogaangu kuna maisha nje ya Jf. Mkate wa kila siku kwanza umbea baadae. Mwenzio kada mwaminifu.Hiyo tabia yako ya kubadili username bila kututaarifu wambea wenzanko uiache.
Mpaka nashindwa kukutag maana sikuoni humu.