Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nakimbizana na pesa JP kabana zinapatikana kwa mbinde pesa.,ila soon nitarudimiss chagga, kukosekana kwako kuliwapa wadau mashaka
Wanakulaga....!!!Chunga sana. Ndugu zangu wengi hawanaga ushemeji
Sio huyu kiplagati26 sijuu hata mjeda huyu kafia wapi miezi hii.Ben Saanane na Madame B, kuna mwanajeshi aliingilia kati hapa simkumbuki.
Sio huyu kiplagati26 sijuu hata mjeda huyu kafia wapi miezi hii.
Mara ya mwisho niliwasiliana nae akiwa China mwaka huu mwanzoni.
Bila shakaa kukutana ndio suluhishoKama mimi vile, emb fanya tukutane kwakweli tuzimalize hizi miss
LabeikaMmmh umenitamanisha...
Ukiitwa jina lako unaitikiaje kwenye tendo!????????
bila shurutiii nimesogeakweli ara.. ara wangu.. jamanii... sogea basi kipenzi.. niangalie aash!