Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Vipicha kidogo ni kama mbilimbi kwenye post
1469555710676.jpg
1469555718160.jpg
 
Hahahaaaa Mangi bana...you crack me up man.

Kwa hiyo sasa ina maana huyo supastaa naye nimeshamla na sasa anaona wivu kwa mwenzake hadi kuanza kumwita beki tatu?

JF kiboko aisee.
Huyo Super star anakufahamu vizuri, uliwahigi kumsaidia kitu, kuna kipindi alikuwaga na shida na akaitangaza humu..

Ila la kumla super star sina hakika..
 
Huyo Super star anakufahamu vizuri, uliwahigi kumsaidia kitu, kuna kipindi alikuwaga na shida na akaitangaza humu..

Ila la kumla super star sina hakika..

Hapana...supastaa sijawahi kumsaidia.

Kwanza mi na yeye tushawahi kuwa na beef kwa muda mrefu tu hadi hii majuzi ndo naona kidogo amani imerudi.

Na hapana Mangi. Supastaa hanifahamu.

Mtu ambaye kidogo nahisi huenda ananifahamu kidogo ni Maxence Melo....wengine hudhania tu kuwa wananifahamu lakini hakuna kitu. Na ndo maana unaona nina nyodo sana....😀😀😀
 
Heheheheeeh mapenzi matamu[emoji8][emoji8][emoji7][emoji12][emoji12][emoji12]
uploadfromtaptalk1469559376796.png
maaisha yenyewe mafupi haya
 
Msaliti Namba moja wa chadema ni Mbowe.

Mbowe ni Yuda esikarioti wa mabadiliko ya kweli ,

Kubadili gia angani na kutuletea Mr zero na Mafisadi kwenye chama ,inauma sana
 
Back
Top Bottom