Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

ZITTO AGALAGAZWA NA MAWAKILI WA SERIKALI MAHAKAMANI LEO

Yah. Shauri la kikatiba kati Zitto zuberi kabwe Dhidi ya Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, AG ,CAG na Profesa Assad kuhusu kutomwongezea muda Profesa Assad kuwa CAG.

Baada ya majibizano ya kihoja kati ya Mawakili wa serikali wakiongozwa na Gabriel Malata Naibu Wakili Mkuu wa Serikali dhidi ya wakili wa Zitto aliyekuwa akiungwa Mkono na mawakili wa Profesa Assad, baada ya kuelemewa kihoja na Mawakili wa Serikali Bw. Zitto Zuberi Kabwe ameondoa shauri mahakamani au kuweka mpira kwapani .Habari ya leo tarehe 23/4/2020. Hapa kazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli hao wakongwe si watu wazuri. 🤔🤔🤔

Yaani mleta uzi umebakia peke yako tu. Lol
 
News
IMG-20200424-WA0015.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom