Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

By the way.
Naendelea kusisitiza Upandaji miti na kutunza mazingira.
 
Currently, Kilimanjaro people are doing good kwenye kutunza mazingira
 
Mwendo wa DP world...
20230828_135700.jpg
 
Kuna mtu amenitonya huo mjengo na majengo mengine makubwa hapa mjini yamejengwa na pesa ya Wastaafu.
 
Mifuko ya pensheni inamiliki mijengo mikubwa mikubwa hapa mjini??
 
Halafu wamejenga wapangaji hakuna.
Pesa ya pensheni inaendelea kulala bure
 
Na mbinu kuu iliyopo sasa ni kuja na kikokotoo
 
Au kuongeza umri wa kustaafu kutoka 60 hadi 65.
 
Back
Top Bottom